The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Ni mwaka wa ngapi sasa anaeshinda Balon d or anatokea la liga?
Hata kama mwaka huu Messi katokea PSG lakini alipewa tuzo kwa performance yake ya la liga.
Halafu lewandosky na Van Djik walikosaje?
Sasa twende Jana draw ya Champions league mliona timu zote za Spain kasoro
Madrid zilikuwa hazifiki robo fainali?
Vilareal walipewa man city
Atletico wakapewa Bayern Munich halafu draw ikarudiwa.
Vilareal wakapewa Juve mbovu
Atletico kapewa Man U mbovu badala ya Bayern.
La Liga imezidi Sana influence kwenye mpira wa Ulaya kwa sasa.
Hadi Kura za Balon d or Benzema alikuwa wa ngapi? Alimzidi Mo Salah?
La Liga wanataka Sana kuaminisha watu ligi Yao the best in the world. Kiukweli washazidiwa na EPL kwa mbali mno.
Hawastahili tena kutoa Ballon d or winner kila mwaka.
Kuna uhuni wanafanya behind the scene.