Influence ya Spain kuanzia Ballon d'or hadi UEFA mnaiona?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Ni mwaka wa ngapi sasa anaeshinda Balon d or anatokea la liga?

Hata kama mwaka huu Messi katokea PSG lakini alipewa tuzo kwa performance yake ya la liga.

Halafu lewandosky na Van Djik walikosaje?

Sasa twende Jana draw ya Champions league mliona timu zote za Spain kasoro
Madrid zilikuwa hazifiki robo fainali?

Vilareal walipewa man city
Atletico wakapewa Bayern Munich halafu draw ikarudiwa.

Vilareal wakapewa Juve mbovu
Atletico kapewa Man U mbovu badala ya Bayern.

La Liga imezidi Sana influence kwenye mpira wa Ulaya kwa sasa.

Hadi Kura za Balon d or Benzema alikuwa wa ngapi? Alimzidi Mo Salah?

La Liga wanataka Sana kuaminisha watu ligi Yao the best in the world. Kiukweli washazidiwa na EPL kwa mbali mno.

Hawastahili tena kutoa Ballon d or winner kila mwaka.

Kuna uhuni wanafanya behind the scene.
 
Ni maoni yako lkn mambo tofauti na ulivyoandika so unataka kusema influence hiyo ndo imepelekea dro kurudiwa ili Madrid aepushwe na timu bora benfica na kupewa kibonde PSG???
 
Ni maoni yako lkn mambo tofauti na ulivyoandika so unataka kusema influence hiyo ndo imepelekea dro kurudiwa ili Madrid aepushwe na timu bora benfica na kupewa kibonde PSG???

Madrid atapita kwa PSG..
Lakini pia Vilareal na Atletico Wana nafasi ya kupita sasa kuliko draw ya mwanzo..

Naweza tabiri ..timu zote tatu za spain zinapita ikibaki itabaki moja....
 
Awana tena Messi,awana tena Cr7 waliokua wanaibeba Laliga.walioko juu kwa sasa tofauti hao pia awapo Laliga,mtu kama Lewandoski,Mo Salah n,k.
Barcelona na Madrid wanajipanga upya kurudi kileleni, acha warusherushe miguu watatubu muda si mrefu na ukweli utajukikana.
 
Laliga unafananisha na ligi yenu ya uingereza wanacheza kama ngiri zimeingizwa uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…