Info Request: Commissions za Mmpesa; Tigo Pesa na Airtel Money

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Kwa mwenye information naomba kujua commissions anazopata wakala wa hizo money transfer tafadhali, tena kama kuna mwenye jedwali la viwango nitashukuru zaidi, (mfano mtu akitoa kiasi fulani au akiweka kiasi fulani ni commission ipi inatolewa). Thanks.
 
nimepata commissions za voda kutoka ofisini kwao, nadhani airtel hawatoi kitu kama hiki, naomba kama kuna mtu anafanya hii airtel money aniambie commissions zipo vipi nimeambiwa message huwa inakuja baada ya kufanya transaction kuambiwa umepata kiasi gani
 

Attachments

  • voda wakala commissions.jpg
    458.4 KB · Views: 498
Hii ipo coplicated then haipo fixed kwa kila mwez watembele kwenye ofis zao watakufhmisha meng zaid:

nb.kama unataka kuanzsha u must be very careful na umpate mtu mwaminf othrwise utajalia machoz yasio kakuka
 
Hii ipo coplicated then haipo fixed kwa kila mwez watembele kwenye ofis zao watakufhmisha meng zaid:

nb.kama unataka kuanzsha u must be very careful na umpate mtu mwaminf othrwise utajalia machoz yasio kakuka

Mkuu Voda wanatoa kama nilivyoweka jedwari hapo juu, Tigo sijui kama wanatoa au hawatoi, Airtel nimeambiwa hawatoi kwamba kila ukituma unapewa message hapo hapo umepata kiasi gani, sasa kama kuna mtu anayo Airtel Money anaweza kutuambia huwa anapata kiasi gani mfano mtu akitoa au akituma kiasi gani ili tuweze kutengeneza Jedwari letu na kwa wale wanaotaka kujiunga na hii biashara wawe informed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…