Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kwa mwenye information naomba kujua commissions anazopata wakala wa hizo money transfer tafadhali, tena kama kuna mwenye jedwali la viwango nitashukuru zaidi, (mfano mtu akitoa kiasi fulani au akiweka kiasi fulani ni commission ipi inatolewa). Thanks.