Ingawa Ahly kashinda moja laki alikua kwenye Hali ngumu kuliko Simba

Ingawa Ahly kashinda moja laki alikua kwenye Hali ngumu kuliko Simba

Yaan huyu Mugalu atakuwa amewaroga.

Naomba nikupe somo juu ya Mugalu ili umuelewe kuanzia leo

Mugalu ana faida ya kukaa na mpira
Timu ikiwa imezidiwa Mugalu anawakaba mabeki wa team pinzani wasije kutushambulia na kwa umbo lake mabeki wanamuogopa na hakabwi na beki mmoja hali inayowapa nafasi wachezaji wengine kufanya kazi kwa uhuru

Angalia jana alichofanya kagere ndo utaelewa umuhim wa mugalu
Kipind cha kwanza kagele alikuwa anarud kusaidia kukaba huku kwetu kitu ambacho sio sahihi ikasababisha mabeki wapinzani wanaanda sana tukachezewa nusu uwanja

Mugalu huwa harus kukaba kwetu yeye anakabia kule kwao hali inayowasababisha mabeki wa team pinzani wasije kwetu
 
Waeleze aiseh.
Wanaojua mpira watakuelewa vzuri.

Ila kina Karungu yeye hawatakuelewa.
 
Misukule ya swanga ndio hula pumba na panya
Tuache kuipa nyama za wajinga kama wewe tuipe pumba kama mwewe wa Sumbawanga tu wanakula nyama ya ng'ombe kila siku itakuwa misukule iache kula bata.
Mtu kana wewe kule kwetu tungekutestia radi kuangalia kama ina nguvu au laa maana huna maana umejaaa wivu wa kipumbavu tu.
Hivi una mchango gani hata kwa timu za Tanzania hadi uumie kiasi hiki.Hapa simba imefungwa unashangilia mara moja tu vipi ingekuwa inafungwa kila siku.

Kwa taarifa yako Simba utaiona fainali ubaki na ujinga wako.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
We si pumba tupu zimejaa kichwani mwako et walibebwa kwa sababu wapo nyumban waamuzi watafungiwa na shirikisho la mpira barani africa huu ujingaa umeupata wapi? Yaani ww wa shitimbi hujawah hata kuingia kwenye kamat za shrikisho na kujua kama kuna ajenda ya kuzibeba timu za egypt unakuja kuhorojeka hapa

Bingwa wa kihistoria wa haya mashindano yupo egypt fainali zote hazijachezwa kwao

Bimgwa wa african cup of nations kihistoria ni egypt kachukua ubingwa viwanja mbalimbali huwezi hata kuona kwamba mpira wanaujua unatoa visababu vya kitoto sasa kwa nini miaka ya nyuma hawakubeba ubingwa sio zamalek au alahly kama wanatakiwa kubebwa?
 
Naomba nikupe somo juu ya Mugalu ili umuelewe kuanzia leo

Mugalu ana faida ya kukaa na mpira
Timu ikiwa imezidiwa Mugalu anawakaba mabeki wa team pinzani wasije kutushambulia na kwa umbo lake mabeki wanamuogopa na hakabwi na beki mmoja hali inayowapa nafasi wachezaji wengine kufanya kazi kwa uhuru

Angalia jana alichofanya kagere ndo utaelewa umuhim wa mugalu
Kipind cha kwanza kagele alikuwa anarud kusaidia kukaba huku kwetu kitu ambacho sio sahihi ikasababisha mabeki wapinzani wanaanda sana tukachezewa nusu uwanja

Mugalu huwa harus kukaba kwetu yeye anakabia kule kwao hali inayowasababisha mabeki wa team pinzani wasije kwetu
Anapata nafasi anakosa.....halafu mnasema mnakaa na mpira....akae na mpira ila akipata nafasi afunge
 
Mechi ya leo Simba wameupiga mwingi.hii mechi pia imempa kocha nafasi ya kuona combination ya Nyoni na Mibangi Mkude pale kati, kocha ajue nini cha kurekebisha endapo mkata umeme Lwanga siku atakosekana kwa majeraha au kadi.
Ila Mkude mechi za mbeleni uko atupishe kwakweli,hata mechi ya As Vita pale kwa Mkapa Mkude ali-flop sana tu.
Miaka ya nyuma Simba ingekung'utwa sio chini ya goli tatu kwenda juu huko Misri.
Ni hatua nzuri Sana kwa wekundu hao.
Lakini sishangai Simba Ni timu ya kufanya maajabu toka Zamani.
 
Al Ahaly walipopata goli walicheza kama wako mazoezini
Utopolo bhana, utafikiri mechi uliangalia wewe tu wengine hawakuitazama kabisa.
FB_IMG_1614158925478.jpg
 
Hakuna chochote nyie pussy tu..
Kumbuka Simba ilikua inacheza na
Bingwa wa Afrika Mara nyingi,
Mshiriki kombe la vilabu la Dunia,
Bingwa mtetezi,
Klabu tajiri,
Na moja ya timu Bora kabisa Hapa Afrika.
Lakini kizuri zaidi Ni kwamba Simba alimfunga Mbabe huyu wa soka hapa Dar es salaam.
Kwa hiyo huyu kwa Simba Ni mshikaji tu.
Level sawa.
 
Miaka ya nyuma Simba ingekung'utwa sio chini ya goli tatu kwenda juu huko Misri.
Ni hatua nzuri Sana kwa wekundu hao.
Lakini sishangai Simba Ni timu ya kufanya maajabu toka Zamani.
Mwanzo kabisa baada ya fixtures ya hili kundi "A"kutoka,mashabiki wengi wa Simba tulitamani Simba kule Misri atoe draw au kama akifungwa basi zisiwe goli nyingi,ili kwa Mkapa asitoke mtu.
Na ndo hiki kilichotokea sasa,kwaiyo Simba kaongoza kundi akiwa kinara wa points na hakuna timu kwenye haya mashindano inatamani kukutana na Simba.
 
Mi nadhani mechi ya jana ilikuwa ya viongozi wa simba kujifunza kwamba kuchukua ubingwa wa Afrika ni safari inayohitaji mipango ya muda mrefu. Wengi tuna matumaini makubwa na simba ila bado uwekezaji zaidi ufanyike ili tuelekekee kuwa timu kubwa. Kwa mpira wa jana nimeona kiwango chetu bado hakikidhi haja japo kina saidia. Wachezaji wetu katika umiliki wa mpira na upigaji pasi kuna tatizo kubwa sana ukilinganisha na wenzetu. Simba imepiga hatua lakini bado jitihada zaidi zifanyike ndani ya miaka 3 tunaweza cheza japo finali ya CAF.
 
Hivi wajinga kama nyie bado mpo.
Ukiwa na akili hii ni wazi hata umasikini lazima ukuvae.Hatupo kwenye usimba na uyanga huko tulishahama tupo level zingine kabisa za mafanikio ya pamoja kama taifa.
Simba hata ingefungwa kumi haipotezi chochote .Waarabu walidhibitiwa hadi mwisho wakaamua kulinda tu goli lao lile moja la piga nikupige walilomsukuma Manula ndo wakafunga.Wamelindwa na waamzi mwanzo mwisho.

Wewe ni shabiki yanga wa hovyo.Huko uliko tulishahama.Sisi na Yanga hatuna utani wa kijinga kama wa kwako.Tunataka tusonge mbele mpira burudani siyo uadui.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app

Usitake kutuletea siasa kwenye Yanga na Simba. Yanga ibaki kama Yanga na Simba ibaki kama Simba.
 
Back
Top Bottom