Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Ligi zote duniani huwa zinaendeshwa kwa sheria na taaribu ambazo zimejiwekea hasa ikija upande wa wadhamini wa Timu .
Ligi nyingi mdhamini mmoja hawezi kuwa mdhamini mkuu wa timu zaidi ya moja kwenye ligi na mara nyingi unakuta mdhamini anaedhamini timu zaidi ya moja ni upande wa Jezi tu au udhamini mwingine mdogo .
GSM ni Mdhamini wa Yanga ingawa wenyewe wanadai kwa Yanga ni Mdhamini mdogo mdhamini mkuu ni Sportpesa kitu ambacho sidhani kama ni kweli lakini pia kwenye ligi hii ya NBC kuna timu anadhamini .
Soma Pia: Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?
Sasa binafsi najua sheria na taaribu huenda haziwafungi lakini ni vizuri tukatumia common sense kama ni kweli haki itatendeka kwenye maamuzi ambayo yanafaida kwa Timu yake Moja
TFF na Wizara kwa ujumla hili nalo liangaliwe .