Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Meza moto.Yanga haihitaji matokeo nje ya uwanja ili kuwa bingwa. Yanga kwa Sasa nitimu Bora kulinganisha na timu nyingine. Ligi ya Tanzania siku zote Ni dhaifu. Kama Simba sio bingwa Basi yanga ndiye bingwa , uliwahi kutokea Azam kachukua ... NB Mtu mwenye akili timamu hawezi kuona shida Timu zaidi ya 5 kudhaminiwa na mdhamini mmoja. (MTU mwenye akili timamu peke yake) Kwanini Pamba usichukue ubingwa kwasababu mdamini wap anadhamini na timu nyingine?