Ingawa "Common sense is not so common " Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo , TFF na GSM mjitazame katika hili

Meza moto.
 
Kuna jambo hujamuelewa mleta mada. Kumbuka, Kilimanjaro na SportPesa hazimiliki timu
INEOS ni wamiliki wa Manchester United na wadhamini wa Tottenham Hotspur: timu zote zipo Premier League.
 
Mkuu kuhusu hoja yako hiyo, ukifanikiwa kuipata Clip ya Mheshimiwa Alhaji Ismail Aden Rage (Nguli wa Sheria za Soka Nchini) utaondoa wasiwasi wako wote ulionao. Kwa kifupi udhamini wa Azam, GSM, SportPesa, Binsulum na wengine wengi umeiwezesha Ligi yetu kuwa bora katika Ukanda huu wa CECAFA na Afrika kwa ujumla. Muhimu timu zifanye maandalizi kulingana na taratibu za TFF, CAF na FIFA. Mwisho hatutaki kurudi katika enzi za Timu kukosa nauli na malazi ila tunaomba Wadhamini/Wafadhili waongezeke kwa ajili ya kulifanya Soka letu liwe Competitive.
 
Yanga ndiyo timu pekee ya mpira wa miguu hapa Tanzania, wengine ni mangenge ya wahuni
 
Kwa kutumia hiyo common sense unayoisema tayari Yanga ni bigwa ,GSM anadhamini timu zaidi ya tano mzunguko wa kwanza Yanga anauhakika wa kupata pointi 15 na pili 15 ukijumlisha tayari ana point 30 kibindoni. Kwann asichukue ubigwa?
Ubingwa na point 30!

Mbona mnadharau mchango wa Simba kwenye ubingwa wa Yanga?!!
 
Tulieni dawa iwaingie vzr.timu zimeimalika sana baada ya udhamini ndiyo maana wachezaji wakigeni wanaweza kulipwa vizr na timu ndogo Cha msingi sajilini vzr kwa ajili ya kuonesha upinzani.
 
Yanga akishashinda kwa magoli mengi watu huhamia kufungua nyuzi tu ili kupooza maumivi japo kiduchu
 
Nadhani hata washabiki wa soka Tanzania ni mbumbumbu, haiwezekani hoja hii ionekane kituko. Kuna haja kwa wale wanaootakia mema soka la Tanzania kulipeleka suala hili FCC ili watoe uamuzi, kwenye akili ya kawaida kabisa haitakiwi kuwa hivi. Wapinzani wa Yanga kwenye mbio za ubingwa kama Simba na Axam wachuke hatua na kulalamima FCC.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…