Ingawa Mark X na Crown zinatumia engine moja, Mark X inatumia mafuta vizuri zaidi

....Sema yote husije huku tuliko (brevis). Chuma inakula 4km per liter kama naendesha vx na haliuziki bora mark x
Note: brevis 2500i
Utakuwa unakomaa bei tu mkuu...tangaza 4mil uone kama litamaliza wiki.
 
Toa ujinga wako hapa. Mie nina Nissan Safari, 4500cc inakula 8km/Ltr
Hiyo yako ni ujinga. Sio gari ni takataka
Asante mkuu hili jukwaa Lina watu wa ajabu sana usipokuwa makini unapotea kabisa.Huyo jamaa ni muongo.
 
Fuga Full tank mitandaoni inaonesha ni 79Litres wakati Crown Athlete ni 71 Litres unaweza kuangalia auto-data.net
 
Toa ujinga wako hapa. Mie nina Nissan Safari, 4500cc inakula 8km/Ltr
Hiyo yako ni ujinga. Sio gari ni takataka
Labda highway, cc4500 huwezi kupata 8kml,gari bado mpya umenunua 0km?nadhan humu kuna tatizo la watu kutojua kupima ulaji wa mafuta,kila mtu ana data za kufirika,gari ya cc2000 used japan na tanzania,ulaji wake hauwezi kuwa mzuri kihivyo
 
Kama ni diesel anaweza kupata hizo km8 kwa lita bila shida tena highway anaweza akapata 9 mpaka 10..
 
Wala hata si la kizamani ni la kisasa kabisaa!
Na si kweli kwamba mark x ilianza kuonekana bongo mwaka 2005 labda useme ilianza kutengenezwa mwaka huo!
Na pia unapaswa ujue mark x ni successor wa brevis combined na verosa ndio kikazaliwa kitu kinaitwa mark x
 
Umeandika kama vile mtu anaemiliki Mark X (1st generation 2004-2009) mimi nimeanza kuona Mark X ya kwanza bongo mwaka 2005 sikumbuki ni mwezi gani haswa ila ni mwaka huo, wakati zikiwa zimeanza kutengenezwa mwaka 2004 mwishoni, 1st gen Mark X lina muonekano wa kizamani maana show yake imekaa sana kuanzia hio 2004-2009,

Mark X bomba na nzuri ni zile za kuanzia 2009( 2nd Generation, pia Original Predecessor wa Mark X ni Mark II ( Brevis na Verossa) zililetwa ili kujaribisha soko mbadala wa Mark II ila zilishindwa kuleta tija sokoni...ila ngoja nikubaliane na wewe ulichosema ila ufafanuzi wangu ndio huo mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…