Ingawa mkutano wa EaC haukufanyika, ila ulikuwa wa mafanikio makubwa kwa Kenyatta kupata fursa ya kumwona Magufuli!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Posts
3,373
Reaction score
6,795
Baada ya njaa kuwa kali, Kenyatta akaona atafute namna ya kiutu uzima kukutana na mkuu wa nchi iliyojaa chakula na soko la uhakika la bidhaa za Kenya.
Mara akaitisha mkutano wa Blue economy, jamaa hakutokea, badala yake akatokea Shein.
Jamaa kaona saaa hali imekuwa mbaya.
Ataendaje Tz, how does he sell it to his people kuwa amekuja ku beg Tz? So ikabidi na M7 awepo pale to paint a good picture of EaC look like. So kina Kagame na Nkurunziza hawakuwa na haja ya kuwepo pale kwa kuwa mkutano ule ulikuwa baina ya Kenya na Tz, ila ukibeba sura ya jumuiya kwa kumuweka na M7 ili kumsitiri mtu mzima Kenyatta.
Kwa kuwa wakenya mmehitaji msaada wetu, msijali. Tutawasaidia kiroho safi. Ila mpunguze majivuno. Jishusheni mpate msaada.
 
wakenya ni jiani zetu jamani tujue jinsi ya kuishi nao .Ni kweli kwa namna furani wanaitegemea sana tz kuuza bidhaa zao na hata kuvutia watalii .Ni juzi tu walikuwa wanasema mlima Kilimanjaro uko kenya
 
Unawaza kunya tu.mbona ndugu zako wa kibera wanakuja kwenye mifuko na kutupa dirishani na hatujishughulishi nao!!!!
harafu huko Kenya kuna kampuni inafanya recycling ya kinyesi cha binadamu ili kiweze kutumika upya kama mbolea
 
harafu huko Kenya kuna kampuni inafanya recycling ya kinyesi cha binadamu ili kiweze kutumika upya kama mbolea
Na kuna kampuni inayo supply mifuko ya kunyea huko ndani, na same company inahusika na kuokota na kukusanya hivyo vinyesi ndani ya mifuko.
 
Uchambuzi umekaa sawa kabisa.
 
watu wa aina yako mnasababisha Watanzania kuonekana Vilazer, Watanzania kuanzia matajiri hadi maskini wote wanaisoma namba kwa hiyo huu unaoandika ni upumbavu mtupu.
Tanzania hasa wakulima wanaihitaji Kenya kuliko Kenya inavyotuhitaji.
Soko la;
1. mahindi
2. mtama
3. ngwara
yameanguka bei sababu ya figusi za kijinga.
Hii habari ukamuuzie bibi yako kijijini.
MK254
 
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…