Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
sipo ufipa na sina chama, vichwa vyenu vimejaa wadudu, mshaurini rais na sio kumwangamiza kwa faida ya matumbo yenu.Wewe kaa hapo hapo ufipa ukijikomba komba kwa wakenya. Hapa kazi tu.
Uhasama wa Kenya na Tz ni hasara kubwa sababu wananchi wa nchi hizi wanategemeana kibiashara.
Wakulima wwtu mwaka huu wamepata hasara kubwa sababu ya kutoruhusiwa kuvuka mpaka, faida iko wapi?
Ugonjwa umekuharibu akili wewe mzee na muda si mrefu utakuwa mchawi