Ingawa mkutano wa EaC haukufanyika, ila ulikuwa wa mafanikio makubwa kwa Kenyatta kupata fursa ya kumwona Magufuli!

Ingawa mkutano wa EaC haukufanyika, ila ulikuwa wa mafanikio makubwa kwa Kenyatta kupata fursa ya kumwona Magufuli!

Wewe kaa hapo hapo ufipa ukijikomba komba kwa wakenya. Hapa kazi tu.
sipo ufipa na sina chama, vichwa vyenu vimejaa wadudu, mshaurini rais na sio kumwangamiza kwa faida ya matumbo yenu.
Uhasama wa Kenya na Tz ni hasara kubwa sababu wananchi wa nchi hizi wanategemeana kibiashara.
Wakulima wwtu mwaka huu wamepata hasara kubwa sababu ya kutoruhusiwa kuvuka mpaka, faida iko wapi?
Ugonjwa umekuharibu akili wewe mzee na muda si mrefu utakuwa mchawi
 
Wewe ni mpuuzi uliyeandika hii thread tunataka biashara na kenya ni jirani na watani zetu sasa usituchonganishe sisi
 
Na kuna kampuni inayo supply mifuko ya kunyea huko ndani, na same company inahusika na kuokota na kukusanya hivyo vinyesi ndani ya mifuko.
hawa jamaa aisee bado sana na hicho kiingereza chao cha kiruo
 
watu wa aina yako mnasababisha Watanzania kuonekana Vilazer, Watanzania kuanzia matajiri hadi maskini wote wanaisoma namba kwa hiyo huu unaoandika ni upumbavu mtupu.
Tanzania hasa wakulima wanaihitaji Kenya kuliko Kenya inavyotuhitaji.
Soko la;
1. mahindi
2. mtama
3. ngwara
yameanguka bei sababu ya figusi za kijinga.
Hii habari ukamuuzie bibi yako kijijini.
MK254

Kenya mna viwanda zaidi twajua, lakini viwanda hivyo hununua mahindi ktoka Tz na baada ya kutengeza last product soko lao kuu ni Tz. Sisi tukiamua pamoja na kutonunua mahindi yetu tutayauza another country. Na tutazuia uuzaji wa bidhaa zenu hapa kwetu. Mtalia saana
 
Baada ya njaa kuwa kali, Kenyatta akaona atafute namna ya kiutu uzima kukutana na mkuu wa nchi iliyojaa chakula na soko la uhakika la bidhaa za Kenya.
Mara akaitisha mkutano wa Blue economy, jamaa hakutokea, badala yake akatokea Shein.
Jamaa kaona saaa hali imekuwa mbaya.
Ataendaje Tz, how does he sell it to his people kuwa amekuja ku beg Tz? So ikabidi na M7 awepo pale to paint a good picture of EaC look like. So kina Kagame na Nkurunziza hawakuwa na haja ya kuwepo pale kwa kuwa mkutano ule ulikuwa baina ya Kenya na Tz, ila ukibeba sura ya jumuiya kwa kumuweka na M7 ili kumsitiri mtu mzima Kenyatta.
Kwa kuwa wakenya mmehitaji msaada wetu, msijali. Tutawasaidia kiroho safi. Ila mpunguze majivuno. Jishusheni mpate msaada.
......and people are liking this bullshit? The Blue economy conference is an international thing that was hosted simultaneously by Kenya, Canada and Japan. Sasa wewe unaposema ulikua baina ya Kenya na Tanzania sijui unaongelea nini? Don't feel so important.

Talking of hunger, the world hunger index ranks Tz as worse than Kenya. Kenya's life expectancy is higher than Tz, so what exactly are you speaking about?
Screenshot_2018-12-03-10-05-36.png
Screenshot_2018-11-24-21-15-04.png
 
Kenya mna viwanda zaidi twajua, lakini viwanda hivyo hununua mahindi ktoka Tz na baada ya kutengeza last product soko lao kuu ni Tz. Sisi tukiamua pamoja na kutonunua mahindi yetu tutayauza another country. Na tutazuia uuzaji wa bidhaa zenu hapa kwetu. Mtalia saana
Which other country? Tukikataa kununua hayo mahindi yenu mtakuwa wa kwa kwanza kulalamika. There's so much maize in this world countries are begging for market.
 
Back
Top Bottom