Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna club Angola imemnunua...Tatizo pombe, umalaya, bata etc
Anakula mema ya dunia.
Sahau kina pele na maradona Ronaldinho ni kitu kingine,weka mbali takataka kama messi na christiano.Kwenye historia ya mpira ushawahi kumwona nani bonge la shuti katuliza kwa mgongo na ikakaa?
Ubora na umaarufu wa mchezaji ni kuwezesha timu yake kuchukua ubingwa na pia kuwezesha timu yake ya taifa kuchukua ubingwa wa dunia ndivyo Pele na Maredona walivyofanya. Huyo unayemtaja nini amefanya kwa timu ya taifa lake kuwezesha kuchukua kombe la dunia? Usipime kwa mtazamo wako ila angalia macho ya wengi pamoja na jopo la vyombo vya habari na wataalamu wa mchezo huo kwa vigezo vyenye mizani ya ukweli si ushabiki wa kile moyo ukipenda.
Muanzisha mada anamzungumzia gaucho na si timu ya gauchoUbora na umaarufu wa mchezaji ni kuwezesha timu yake kuchukua ubingwa na pia kuwezesha timu yake ya taifa kuchukua ubingwa wa dunia ndivyo Pele na Maredona walivyofanya. Huyo unayemtaja nini amefanya kwa timu ya taifa lake kuwezesha kuchukua kombe la dunia? Usipime kwa mtazamo wako ila angalia macho ya wengi pamoja na jopo la vyombo vya habari na wataalamu wa mchezo huo kwa vigezo vyenye mizani ya ukweli si ushabiki wa kile moyo ukipenda.
Sahau kina pele na maradona Ronaldinho ni kitu kingine,weka mbali takataka kama messi na christiano.Kwenye historia ya mpira ushawahi kumwona nani bonge la shuti katuliza kwa mgongo na ikakaa?
Ubora na umaarufu wa mchezaji ni kuwezesha timu yake kuchukua ubingwa na pia kuwezesha timu yake ya taifa kuchukua ubingwa wa dunia ndivyo Pele na Maredona walivyofanya. Huyo unayemtaja nini amefanya kwa timu ya taifa lake kuwezesha kuchukua kombe la dunia? Usipime kwa mtazamo wako ila angalia macho ya wengi pamoja na jopo la vyombo vya habari na wataalamu wa mchezo huo kwa vigezo vyenye mizani ya ukweli si ushabiki wa kile moyo ukipenda.
Hawa kombe la dunia wanalisikia kama Maiti ya hitler.sasa kwa kigezo hiki utamlinganisha na wakina Messi & CR7