Ingawa sijawaona Pele na Maradona, ila nina uhakika hawamfikii Gaucho

Sahau kina pele na maradona Ronaldinho ni kitu kingine,weka mbali takataka kama messi na christiano.Kwenye historia ya mpira ushawahi kumwona nani bonge la shuti katuliza kwa mgongo na ikakaa?

waache pele na maradona, ronadhino hamfikii zidane kabisa, ninajua ninachozungumza
 
kwa hiyo Christopher Dugarry ni bora kuliko George weah kwa sababu dugarry ametoa kombe la dunia na ufaransa wakati weah hana kombe la dunia' tunatakiwa tumjaji mtu binafsi na sio timu, kwani kombe linatolewa na timu as whole, ndio maana mwaka/ msimu uliopita/huu Ronaldo alichaguliwa mchezaji bora na sio manuel nuer au t.muller ingekuwa vikombe ni kigezo basi muller au wangechaguliwa
 
zidane mpira wenyewe ulikuwa unamuheshimu!yaani ukiupiga mpira ukiwa unadundadunda kumpelekea zidane mpira ukifika kwa zidane unatulia wenyewe kabla zidane hajautuliza!!!

daah kaka zizzou alikuwa balaa, aliwazungusha kaka na dhino brazil vs france kwenye world cup ,yule jamaa ni noma saana
 
Sahau kina pele na maradona Ronaldinho ni kitu kingine,weka mbali takataka kama messi na christiano.Kwenye historia ya mpira ushawahi kumwona nani bonge la shuti katuliza kwa mgongo na ikakaa?

Ndugu yangu ukimtendea haki mtu mmoja anaitwa Zinedin Zidane kwangu mimi huyu ndiye alikua fundi wa mpila kama ujawai kumuona tafuta mechi alizo cheza uangalie
 
daah kaka zizzou alikuwa balaa, aliwazungusha kaka na dhino brazil vs france kwenye world cup ,yule jamaa ni noma saana


hah hah hah dah porojo maandazi hizi sijui zitaisha lini wallah...

tafuta mechi Madrid anakula 3-0 Bernabeu ambapo washabiki wa Madrid waliinuka na kumshangilia Dinho.

hio Mechi Zidane alishindwa afanye nini mpaka akawa anawatuma shost zake wakamkabe Nabii.

Figo na Beckham waligoma kufuata maagizo hayo.

kwi kwi kwi kwi dah Dinho Made Barca...Barca made Nesi
 
nawapanga mafundi wa mpira kwa mtiririko...

1.pele
2.maradona
3.gaucho
4.zinedine
5.ronaldo de lima
6.austin okocha
7.cr7
8.messi
9.zlatan ibrahimovic
10.figo
 
nawapanga mafundi wa mpira kwa mtiririko...

1.pele
2.maradona
3.gaucho
4.zinedine
5.ronaldo de lima
6.austin okocha
7.cr7
8.messi
9.zlatan ibrahimovic
10.figo


1. huyo Pelege Mavi hajawahi kucheza soka ktk Ligi za ulaya ambazo zina ushindani.

2. Maradona hakuwahi kubeba champions league wala kucheza AC Milan.
 
Wwka wazi zaidi.hawamfikii kwenye flares .maradona anaponzwa na ile hali kwamna ma youtube hayakuwepo miaka ila Pele hakuwa mtu wa flares
 
Ronaldhinho on Messi Breaking Pele's record

Reporter : Messi breaks Peles record is he better than Pele?

Ronaldinho : To be better than pele you have to win 3 world cups. Not to score against Zaragoza ; Getafe and Mallorca #Dinho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…