Ingawa sijawaona Pele na Maradona, ila nina uhakika hawamfikii Gaucho

Ingawa sijawaona Pele na Maradona, ila nina uhakika hawamfikii Gaucho

Dinho ndani ya 18 anatoa pande hawa wa sasa kwa kupenda ufungaji bora yaan wao wanapenda tu wafunge

Hiyo ndo rekodi? Huna cha kuonyesha! Katika kitabu cha wavunja rekodi la liga na barca in particular Ronadinho hayumo!
 
Gang Chomba video ninayo sema kuupload siwez sasa usiongee mengi na ukiniambia anavipita visichana unakuwa unaikosea adabu hata timu yako ya acmilan rejea mechi tuliyokupiga 4 alaf lile goli la pili la messi unajua messi alipiga chenga beki ngapi kabla ya kumtungua kipa wako mwenye upara na hyo video yangu inaonyesha ni kias gani nesta alipata shida kwani alitamani hata atoke uwanjani

mechi mnashinda 4-0 Nesta alikuwa keshasepa.
ndo maana nakwambia wewe ni mdogo na soka unalipenda ila hulijui.
kuzungumzia soka la last season na mwenzio Aleyn
 
mechi mnashinda 4-0 Nesta alikuwa keshasepa.
ndo maana nakwambia wewe ni mdogo na soka unalipenda ila hulijui.
kuzungumzia soka la last season na mwenzio Aleyn

Gang Chomba acha ubishi wa asili Messi kashacheza na acmilan kama mara 6 sasa hvo vipindi vingine unafikir nesta hakuwepo kaa kimya niko uwanjani nataka kumpiga mbabe wako deportivo aliyekupigaga 4 bila wakat mechi ya kwanza uliongoza 4-1 daaah kweli milan majanga
 
Kwa hiyo Messi na Christiano si lolote maana hawana ndoo ya dunia ila Dihno anayo

Ndio ujuzi wa uwanjani hupimwa kwa kuwezesha timu kuchukua viombe na kuiwezesha timu ya taifa kuchukua ubingwa wa dunia mara nyingi. Chenga za uwanjani pekee hazimpi credit umashuhuru mchezaji kama ufundi wake haujachangia timu yake ya Taifa kutetemesha dunia kwa kunyakua vikombe.
 
Ngoja messi astaafu ndio watajua messi alikuwa habari nyingine
Wewe hujui mpira na wala hujui hata kutuliza mpira,ukiingia nyumbani kwenu unapasua vyombo vyote,nimewawekea hapo clip Messi mwenyewe akikiri kwamba Dinho ni habari nyingine bado mnabisha wakati messi kacheza na Dinho anamjua,wewe ambae hata hujacheza nae unabisha.

Sasa soma hapa pia Deco anasema Ronaldinho ni mzuri kuliko wote wawili ukiwaweka pamoja,Deco amecheza nao wote,CR7 kwenye timu ya taifa na Messi na Gaucho Barca. Ameyasema hayo mwaka huu alipokua anaongea na jarida la 4:4:2,jarida maarufu la michezo duniani.

Anasema Messi na CR7 ni wakali wana vipaji vya asili lakini Ronaldinho alikua anafanya vitu vya ajabu ambavyo hawajawahi kuvifanya wote wawili. Imenukuliwa na gazeti la daily mail la uk

Soma hapa.

Lionel Messi edges Cristiano Ronaldo when it comes to 'talent'... but Ronaldinho is the most skillful, says former team-mate Deco | Daily Mail Online

Soma hapa pia

http://www.thetoptens.com/soccer-football-players/ronaldinho-1396.asp

Muwe mnasoma majarida makubwa kujua Gaucho anachukuliwaje na watu,sio kusoam champion alafu unakuja kubisha hapa.
Watu wanamuita mungu wa mpira,wengine nabii wa mpira,wengine malaika,yesu kristo wa mpira nk.
 
Kila Kombe alilochukua Messi Dihno pia kachukua lkn si kila kombe ambalo Dihno kachukua na Messi kachukua
 
Kila Kombe alilochukua Messi Dihno pia kachukua lkn si kila kombe ambalo Dihno kachukua na Messi kachukua

mkuu una uhakika acha kuzungumza uongo kama hujui kitu kaa kimya sasa hyo Copa delay,European Super cup,Club world championship nazo dinho kachukua? PLEASE USIKURUPUKE KUWEKA UBISHI KWA MESSI
 
Wewe hujui mpira na wala hujui hata kutuliza mpira,ukiingia nyumbani kwenu unapasua vyombo vyote,nimewawekea hapo clip Messi mwenyewe akikiri kwamba Dinho ni habari nyingine bado mnabisha wakati messi kacheza na Dinho anamjua,wewe ambae hata hujacheza nae unabisha.

Sasa soma hapa pia Deco anasema Ronaldinho ni mzuri kuliko wote wawili ukiwaweka pamoja,Deco amecheza nao wote,CR7 kwenye timu ya taifa na Messi na Gaucho Barca. Ameyasema hayo mwaka huu alipokua anaongea na jarida la 4:4:2,jarida maarufu la michezo duniani.

Anasema Messi na CR7 ni wakali wana vipaji vya asili lakini Ronaldinho alikua anafanya vitu vya ajabu ambavyo hawajawahi kuvifanya wote wawili. Imenukuliwa na gazeti la daily mail la uk

Soma hapa.

Lionel Messi edges Cristiano Ronaldo when it comes to 'talent'... but Ronaldinho is the most skillful, says former team-mate Deco | Daily Mail Online

Soma hapa pia

http://www.thetoptens.com/soccer-football-players/ronaldinho-1396.asp

Muwe mnasoma majarida makubwa kujua Gaucho anachukuliwaje na watu,sio kusoam champion alafu unakuja kubisha hapa.
Watu wanamuita mungu wa mpira,wengine nabii wa mpira,wengine malaika,yesu kristo wa mpira nk.

Hayo ni mawazo binafsi ya mtu mmoja (Deco) binafsi, wengine wana haki pia kuwa na mawazo tofauti binafsi! Uburudishaji si rekodi ya kisoka na haipimiki! Ronadinho hayumo kwenye orodha ya wavunja rekodi katika timu zote alizochezea, kama unabisha tuwekee rekodi zake hapa! Ila kwa kucheza sindimba uwanjani hapo hajambo!
 
Sawa tu maana ameshawahi pia.kuwa mchezaji bora wa dunia

mkuu chini ya Aleyn kuna post yangu ambayo nimekujibu naamini umeiona na umejifunza kitu kat ya messi na dinho ila UKIONA KIMYA UJUE KALIWA asante mkuu kwani ata asahv unaonekana umekuja kiutaratibu baada ya kumjua MESSI LEGENDARY ANAYEZIVUNJA RECOD ZAKE
 
Sahau kina pele na maradona Ronaldinho ni kitu kingine,weka mbali takataka kama messi na christiano.Kwenye historia ya mpira ushawahi kumwona nani bonge la shuti katuliza kwa mgongo na ikakaa?

kumlinganisha Ronaldinho vs Messi ni sawa na kuwalinganisha Miss Britain vs Her Majesty Queen Elizabeth.

elegance....worlds apart!
 
mkuu chini ya Aleyn kuna post yangu ambayo nimekujibu naamini umeiona na umejifunza kitu kat ya messi na dinho ila UKIONA KIMYA UJUE KALIWA asante mkuu kwani ata asahv unaonekana umekuja kiutaratibu baada ya kumjua MESSI LEGENDARY ANAYEZIVUNJA RECOD ZAKE

hah hah hah Lwgendary kajamba last 9t...
legendary anaewika na Barca tu, ila akiwa na Timu ya Taifa anavalishwa pedi na kutulizwa
 
mkuu una uhakika acha kuzungumza uongo kama hujui kitu kaa kimya sasa hyo copa delay,european super cup,club world championship nazo dinho kachukua? Please usikurupuke kuweka ubishi kwa messi

world cup +
copa america
+ copa libertadores = ronaldinho gaucho
 
kwa show game gaucho yuko poa lakini hajadumu kwenye game bana..
Jay Jay Okocha alikuwa na show-game na kuleta impact kwenye timu na amedumu kwa kipindi kirefu, sema tu ni mwafrika ndio maana historia yake imefutika kwa kipindi kifupi

Okocha alikuwa na impact gani.??
 
hao wote mliowataja kina pele,maradona,messi,gaucho wote hawamuwezi Salum Kabunda,alikuwa beki hatari anayecheza rafu za hatari...alimrukia mtu juujuu ampiga kwa miguu miwili akiwa hewani mpaka akaitwa ninja!hayo mambo hao kina messi wenu hawajawahi kufanya hivyo Salum Kabunda ni mkali kuliko wote hao!nimemaliza nawasilisha hoja
 
Mwambie muhudumu akupe kingine ulichotumia,bill kwangu
 
Back
Top Bottom