Wewe hujui mpira na wala hujui hata kutuliza mpira,ukiingia nyumbani kwenu unapasua vyombo vyote,nimewawekea hapo clip Messi mwenyewe akikiri kwamba Dinho ni habari nyingine bado mnabisha wakati messi kacheza na Dinho anamjua,wewe ambae hata hujacheza nae unabisha.
Sasa soma hapa pia Deco anasema Ronaldinho ni mzuri kuliko wote wawili ukiwaweka pamoja,Deco amecheza nao wote,CR7 kwenye timu ya taifa na Messi na Gaucho Barca. Ameyasema hayo mwaka huu alipokua anaongea na jarida la 4:4:2,jarida maarufu la michezo duniani.
Anasema Messi na CR7 ni wakali wana vipaji vya asili lakini Ronaldinho alikua anafanya vitu vya ajabu ambavyo hawajawahi kuvifanya wote wawili. Imenukuliwa na gazeti la daily mail la uk
Soma hapa.
Lionel Messi edges Cristiano Ronaldo when it comes to 'talent'... but Ronaldinho is the most skillful, says former team-mate Deco | Daily Mail Online
Soma hapa pia
http://www.thetoptens.com/soccer-football-players/ronaldinho-1396.asp
Muwe mnasoma majarida makubwa kujua Gaucho anachukuliwaje na watu,sio kusoam champion alafu unakuja kubisha hapa.
Watu wanamuita mungu wa mpira,wengine nabii wa mpira,wengine malaika,yesu kristo wa mpira nk.