Ingawa sijawaona Pele na Maradona, ila nina uhakika hawamfikii Gaucho

Messi Computer ndio kila kitu

Naamini kabisa hii kauli au haya maneno yako umeyaandikia ukiwa chooni ili watu wasikuone na kukuzomea na bila kusahau kukushangaa na hatimae wakupeleke Mirembe kama sio Lutindi pale Tanga ukapone kwanza hiko kichaa chako. Eti ''Messi Computer ndio kila kitu'',Dunia inapata mabalaa ya Tsunami,Mafuriko na Ajali kwa haya maneno yenu ya kukufuru. Hajawahi na hatatokea kama St. Gaucho Dinho Mtume na Nabii wa mwisho kwenye Soka. Forza St. Dinho na tunakuomba utuombee huko tushushiwe tena Nabii mwingine ili aje kukamilisha ile kazi uliyoishia kuifanya wewe.
 
After Maradona akatokea Ronaldinho. Baada Ya Ronaldinho bado sijaona mchezaji mwengine wa kiwango hicho
Messi na CR7 wako ok lakini hawajafika kiwango cha R. Gaucho na Maradona
 
Pele na Maradona are Greatest Player of All times

Ronaldinho made Barca,Barcelona create Messi...

Ronaldo is a product of hard working and training for a footballer but Messi is natural and pure talent of a footballer
 
Huyu Messi bado I'm not convinced that he's at par with Gaucho or Maradona. When you think he'd deliver he'd chock like in the World Cup final last year.
Messi is just a good player but not superb.
 
umenena vema nguli...

A player of R. Gaucho or Maradona calibre comes once in 20 years.

There was Pele

There was Zico

There was Maradona

There was R Gaucho

..........we are waiting for the next player of our generation after R Gaucho, and that player is not Messi
 
juzi kapiga bonge la goli huko Mexico.

goli ambalo Huyo over ratted wenu hajawahi funga.

mfollow Dinho insta kujionea
 
Dinho alishushwa Na Mungu kuja kuuchezea mpira

hao wengine wamejifunza tu huku huku duniani
 
unajuwa kuna dhambi za kujitakia...
sasa huyo anaesema Dinho hajafika kwa Nesi hata robo huyo anachuma tu dhambi

Ni kweli hajafika, Messi kaweka Record za kutikisa ulimwengu, Gaucho kaweka zipi?
 
Yaani nyie hovyo kabisa, kwahiyo mchezaji akianza kushuka kiwango chake basi Milan ndo sehemu ya kwenda kutulia si ndivyo? Poleni sana.
Mpo nafasi ya 11, piganeni mpeleke timu top 2, acheni hayo mambo ya miaka ya nyuma. Leo uko wapi?
 
After Maradona akatokea Ronaldinho. Baada Ya Ronaldinho bado sijaona mchezaji mwengine wa kiwango hicho
Messi na CR7 wako ok lakini hawajafika kiwango cha R. Gaucho na Maradona

Messi hajamfikia Gaucho kwa Vigezo vipi?
 
Messi hajamfikia Gaucho kwa Vigezo vipi?

Wakati Dihno the Saint anashangaza ulimwengu na Mbingu huyo overrated Messi wenu alikuwa benchi anajifunza Wema,Utukufu na Utakatifu wa Dihno kwenye Soka. Dihno kachukua makombe na tuzo zote kwenye soka,huyo Messi wako WC Cup na Copa America anaiona kwenye tv tuu.
 
twende katika dribbling, scoring, assist, pass accuracy etc nani yupo juu?

Kweli wewe umezoea vitu vibovu na pia una mahaba niue,kuna mchezaji anaemfikia Dihno the Saint kwa Ball Dribling hapa Duniani?na ukija kwenye assist na pass accuracy embu mtafute Samuel Etto au Patrick Kluveit wakupe jibu sahihi.
 
Mimi sitaki blah blah, lete data na mimi nilete data.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…