Ingawa sijawaona Pele na Maradona, ila nina uhakika hawamfikii Gaucho

Ninasema na nitarudia kusema, hajawahi kutokea Mchezaji mzuri kwa mbwembwe kama Gaucho, HAKUNAAAA.
Gaucho huwezi ukamuweka level moja hata na Messi, Zidane, Maradona n.k Hivi Mkuu ushawahi kumuona hata Zidane?

Mkuu samahani sana nikikwambia kuwa wewe Mpira umeanza kuangalia au kuufahamu wakati huu wa Messi,sababu hauwezi kusema eti St Dinho ni mchezaji mpira wa mbwembwe tuu sio kuiletea mafanikio timu anayozchezea. Unasema wa mbwembwe huku amechukua makombe yote na tuzo zote za Soka zinazofahamika na zenye heshima Duniani kote. Hapo juu nimekuwekea makombe aliyochukua Dinho akiwa na timu ya Taifa na nikakuomba na wewe uweke ya Messi wako makombe yake ya timu ya Taifa but mpaka leo hii umeipotezea hiyo post kana kwamba hauioni.
 

Sijakujibu sababu naona ni ujinga, hata wewe ungekuwa na timu ya Brasil huku una De Lima, Carlos, Cafu, Dunga n.k usingeweza kubeba kombe?
Kama kweli Gaucho alikuwa ni mzuri sana mbona hakuipa Barca mataji mengi kama Messi ambayo ameipatia? Eti Gaucho ndo aliinua Barca, ina maana kabla ya Gaucho Barca haikuwa na makombe ama!!??
 

Hahahaha,eti ''sijakujibu sababu naona ni ujinga''kweli wewe ni Ant-Prophet Gaucho. Wewe mpira umeanza kuufahamu wakati huu wa huyo Messi wako,kwa hiyo unataka kuniambia makombe yote iliyochukua Barca ni juhudi binafsi za Messi peke yake bila wakina Iniest,Xavi,Alves,Pique? Na pia unataka kuniambia kwa mafanikio ya Brazil chini ya Gaucho hakuna juhudi binafsi za Gaucho moja kwa moja?. Narudia kukwambia tena Messi hamfikii Gaucho hata nusu yake hata acheze mpira miaka kumi ijayo kuanzia sasa,na unapomfananisha Gaucho na Messi unatenda dhambi moja kubwa sana hata kuliko ile ya mauti,Gaucho na Messi ni mbingu na ardhi,kamwe hawanafani wala kuwalinganisha.
 

Sawa Mkuu, endelea na hivyo unavyoamini ila uwe unajaribu hata kuwauliza makocha au mabeki, ni nani kwao ni shida wakikutana nae kati ya Messi au Gaucho. Mimi nimemaliza.
 

mkuu daaah maneno yako cjayapenda hata kidogo nafikili wewe ni mamluki kwenye soka wewe haiwezekani unambie et messi haiingii hata nusu yake nafikili hasira zako za Arsenal kufungwa na Messi 4 ndio unazozileta hapa UKUBALI UKATAE MESSI NA GAUCHO NI KAMA kuifananisha Dar(gaucho) na New York(messi)
 

hivi wewe mkuu umekula maharage ya wap wewe unawezaje kusema barca imerudishwa kwenye soka na dinho weka ushahidi hapa kuwa barca ilipotea kama ilivyopotea arsenal miaka hii dinho alikuwa mchezaji mzur ila hawez mfikia.messi sababu messi levo nyingine wewe had kocha alikwambia messi anaxuiwa na bastola unafikil dinho alitamkiwa hayo maneno wewe messi anascore hattrick santiago.unafkil dinho aliweza? kuwa na nizamu sasa ukiniambia barcelona ilipotea kwenye ulimwengu wa soka ilikuwa kama ARSENAL? Sababu tangu mwaka 94 tumechukua la liga mara kibao copa delay mara nyingi na supercup pia tumebeba sasa tulipotea kwenye soka kivip wakat hata huyo dinho kakaa barca kuanzia mwaka 03-08 ila uefa kachukua maramoja na tangu aindoke messi kabeba mara 2 sasa nani bora hapo
 
Sahau kina pele na maradona Ronaldinho ni kitu kingine,weka mbali takataka kama messi na christiano.Kwenye historia ya mpira ushawahi kumwona nani bonge la shuti katuliza kwa mgongo na ikakaa?

Halafu akituliza kwa mgongo na mpira unakaa, inakuwaje? tuambie tija yake! kwa kitendo hicho timu yake inanufaikaje? Soka sampuli hiyo halina nafasi kwenye karne ya 21!Gaucho alitukuta kwenye upenzi wa soka akatuburudisha kwa soka lisilokuwa na tija na akaondoka! Soka sampuli hiyo limepitwa na wakati na hata brazil wameamua kuachana nalo! Aliishia kuburudisha na hajaacha rekodi binafsi aliyoweka mwenyewe! Hatuangalii ile ya kuchaguliwa mchezaji bora wa dunia, maana hiyo inapatikana subjectively kwa kura! Lakini hao unaowaita takataka wako kwenye ligi ya peke yao, Gaucho hatii mguu hapo!
 

Nimekubali kweli anachokisema jamaa umeanza kuangalia soka juzi juzi wakati wa messi, Messi kaskoo hati triki santiago ila hajawahi kupewa heshima santiago kama Dinho na mihati triki yake, Kaangalie el clasico ya novemba 2005 pale santiago uone mashabiki wote wa madrid pamoja na viongozi wao walisimama kumpigia makofi Dinho baada ya kuwasumbua mabeki wa madrid kama watoto wadogo,mashabiki uzalendo ukawashinda wakasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,ndicho walichofanya kwa Mtakatifu Ronaldinho,je messi alishawahi kufanyiwa hayo huko santiago na mihati triki yake?

Umeanza kuangalia soka mwaka 2011,sidhani kama tutaelewana maana tunachokwambia hukijui unabisha tu.
 


Mi naona kama huelewi ulichokiandika,sasa ulitaka aweke rekodi gani ambayo ni eksepsheno kwa messi na cr7? maana kama ni kufunga magoli hao unaowataja hawajavunja rekodi za dunia,wamevunja eiza rekodi za ulaya au hispania,wewe ulitaka aweke rekodi gani tofauti na wanayoweka kina messi?
 

Mkuu angalia usije kuchuma dhambi ukubwani ukashindwa kwenda mbinguni, kwa taarifa ambazo ni unclassifies toka mbinguni ni kwamba siku Dinho alipokua anacheza mpira kazi zote mbinguni zilisimama kwanza,pia wengi walisamehewa dhambi siku hiyo.
 

kwa hyo messi kuchukua ballon dor mara nne mfululizo ni recod ya ulaya? na kufunga goli 91 mwaka mmoja ni ya ulaya? je magoli 72 msimu mmoja nayo ya ulaya? haya za dunia ni zip
 

yaweza kuwa nimeanza kushabkia hata mwaka jana ila haipunguz uelewa wangu ila haaa yani unataka madrid imsifie messi kwani umeskia messi mzee wa show game messi mtu wa kazi we ukiona adui yako anakusifia ujue kuna walakini yani wampe sifa mtu anayeongoza kuwachakaza kwa hattrick had magoli HIYO HAIWEZEKANI labda nikwambie kitu japo nje ya mada hivi kinana anavyomwita Zito ni mpinzani wa kweli kwa hyo ndio wataka kusema zito ni boooora kupita ukawa? ukiona unasifiwa na adui yako ujue si bure kuna kitu AKILI KICHWANI MWAKO
 
Mkuu angalia usije kuchuma dhambi ukubwani ukashindwa kwenda mbinguni, kwa taarifa ambazo ni unclassifies toka mbinguni ni kwamba siku Dinho alipokua anacheza mpira kazi zote mbinguni zilisimama kwanza,pia wengi walisamehewa dhambi siku hiyo.

Ha ha ha ha ha hayo maneno ya kimpira tu yanayonogesha ladha ya soka
 
hajaacha rekodi binafsi aliyoweka mwenyewe! mchezaji boraHatuangalii ile ya kuchaguliwa wa dunia, maana hiyo inapatikana subjectively kwa kura! Lakini hao unaowaita takataka wako kwenye ligi ya peke yao, Gaucho hatii mguu hapo!

kwa hyo messi kuchukua ballon dor mara nne mfululizo ni recod ya ulaya? na kufunga goli 91 mwaka mmoja ni ya ulaya? je magoli 72 msimu mmoja nayo ya ulaya? haya za dunia ni zip

Ndio maana nilikwambia hujui ulichokiandika,sasa angalia unavyojichanganya mkuu, anyways

1: Bold black: Umesema huangalii uchezaji bora wa dunia maana ni subjective,alafu unakuja kusema messi kachukua balon o doo mara nne mfululizo,je hilo taji sio ulilosema ni subjective au umesahau ulichokiandika mwenyewe?

2: Red: Hilo lina mushkeli maana malawi walipeleka malalamiko au madai yao kua mchezaji wao mwaka 1972 alifunga magoli 112 kwa msimu kwa hiyo hiyo rekodi haitambuliki baada ya huo mkanganyo.

Vijana mlioanza kushabikia soka mika ya 2011 mnaleta shida sana wakati historia ya soka hamuijui.
 

ukiona kimya ujue kaliwa sasa hayo magoli 72 umeyakubali?
 
Sahau kina pele na maradona Ronaldinho ni kitu kingine,weka mbali takataka kama messi na christiano.Kwenye historia ya mpira ushawahi kumwona nani bonge la shuti katuliza kwa mgongo na ikakaa?

Kwa kuwa umekiri kutowaona Pele na Maradona, tumekusamehe, post yako ni hewa, haina maana, hakuna uchambuzi wa aina hiyo.
 

Bado nina wewe mkuu
World records
- Only player to ever win all of the Balon d’Or,
FIFA World Player, Pichichi and Golden Shoe in
the same season (2009/10).
- Youngest three-time winner of the Balon d’Or
in January 2012 (24 years, 6 months and 17
days.
- Only person to win four consecutive Balon
d’Or trophies (2009, 2010, 2011 and 2012).
- Top scorer in one season of official matches:
73 goals in 2011/12 (50 in La Liga, 14 in
Champions League, 3 in Cup, 3 in the Spanish
Supercup, 1 in the European Supercup and 2 in
the Clubs World Cup.
- Top goalscorer in a calendar year: 96 goals in
2012. 84 for Barça (59 in the Liga, 13 in the
Champions League, 5 in the Spanish Cup, 2 in
the Spanish Supercup and 5 in friendly matches)
and 12 for Argentina.
- Longest scoring run in La Liga (33 goals in 21
consecutive games (2012/13)).
European records
- Leading goalscorer in League history with 253
goals in 289 matches, surpassing the record of
251 goals set by Telmo Zarra of Athletic club de
Bilbao which had stood since 1955.
- All-time top goalscorer in the Champions
League, tied with Raúl on 71 goals. The
Argentinian did it in 90 games while Raúl did it
in 142 games for Real Madrid and Schalke 04.
- Only player to be top goalscorer in the
Champions League for four consecutive seasons
(2008/09 to 2011/12).
- Top goalscorer in a European league in the
Golden Shoe era, since 1966/67 (50 goals in
2011/12).
- Top goalscorer in a league (50 goals in
2011/12).
- Top goalscorer in home matches in a league
season (35 goals at the Camp Nou in Liga
2011/12).
- Top goalscorer in away matches in a league
season (24 goals in Liga 2012/13).
- Most games scoring away from home (15
games and 24 goals in Liga 2012/13).
- Top goalscorer in second half of La Liga (28
goals in the Liga 2011/12).
- Only top goalscorer and top supplier of assists
in the same season (50 goals and 15 assists
(tied with Özil of Real Madrid) in Liga 2011/12).
- Top overall goalscorer in a season: 75 goals
in 2011/12 (50 in La Liga, 14 in the Champions
League, 3 in the Cup, 3 in the Spanish Supercup,
1 in the European Supercup, 2 in the Clubs
World Cup and 2 in friendlies).
- First player to score in every game for half of
a Liga season (30 goals in 19 consecutive
games in Liga 2012/13.
 


hah hah hah hah ndo maana kumbe...
ninegundua umri wako bado ndo maana kila kukicha ni bla bla tu.
umewataja De Lima, Carlos, Cafu na Dunga na kudai kuwa eti ukiwa nao hao watu huwezi kukosa kombe..
but nakukumbusha kuwa watu hao walikuwapo mwaka 98 na kuambulia kipigo cha goli 3-0 toka kwa France ktk Fainali ya kombe la Dunia.

sasa nimetambua kuwa natakiwa kumfundisha soka mtu wa namna gani.
 


na ningeshangaa sana kama ungerudu na jibu...
bwah hah hah hah hah hah hah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…