mzee wa funny
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 296
- 65
Ila kusema ukweli namzimikia sa dinho
Hongera zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kusema ukweli namzimikia sa dinho
Hahahaha,eti ''sijakujibu sababu naona ni ujinga''kweli wewe ni Ant-Prophet Gaucho. Wewe mpira umeanza kuufahamu wakati huu wa huyo Messi wako,kwa hiyo unataka kuniambia makombe yote iliyochukua Barca ni juhudi binafsi za Messi peke yake bila wakina Iniest,Xavi,Alves,Pique? Na pia unataka kuniambia kwa mafanikio ya Brazil chini ya Gaucho hakuna juhudi binafsi za Gaucho moja kwa moja?. Narudia kukwambia tena Messi hamfikii Gaucho hata nusu yake hata acheze mpira miaka kumi ijayo kuanzia sasa,na unapomfananisha Gaucho na Messi unatenda dhambi moja kubwa sana hata kuliko ile ya mauti,Gaucho na Messi ni mbingu na ardhi,kamwe hawanafani wala kuwalinganisha.
Sawa Mkuu, endelea na hivyo unavyoamini ila uwe unajaribu hata kuwauliza makocha au mabeki, ni nani kwao ni shida wakikutana nae kati ya Messi au Gaucho. Mimi nimemaliza.
hivi wewe mkuu umekula maharage ya wap wewe unawezaje kusema barca imerudishwa kwenye soka na dinho weka ushahidi hapa kuwa barca ilipotea kama ilivyopotea arsenal miaka hii dinho alikuwa mchezaji mzur ila hawez mfikia.messi sababu messi levo nyingine wewe had kocha alikwambia messi anaxuiwa na bastola unafikil dinho alitamkiwa hayo maneno wewe messi anascore hattrick santiago.unafkil dinho aliweza? kuwa na nizamu sasa ukiniambia barcelona ilipotea kwenye ulimwengu wa soka ilikuwa kama ARSENAL? Sababu tangu mwaka 94 tumechukua la liga mara kibao copa delay mara nyingi na supercup pia tumebeba sasa tulipotea kwenye soka kivip wakat hata huyo dinho kakaa barca kuanzia mwaka 03-08 ila uefa kachukua maramoja na tangu aindoke messi kabeba mara 2 sasa nani bora hapo
Halafu akituliza kwa mgongo na mpira unakaa, inakuwaje? tuambie tija yake! kwa kitendo hicho timu yake inanufaikaje? Soka sampuli hiyo halina nafasi kwenye karne ya 21!Gaucho alitukuta kwenye upenzi wa soka akatuburudisha kwa soka lisilokuwa na tija na akaondoka! Soka sampuli hiyo limepitwa na wakati na hata brazil wameamua kuachana nalo! Aliishia kuburudisha na hajaacha rekodi binafsi aliyoweka mwenyewe! Hatuangalii ile ya kuchaguliwa mchezaji bora wa dunia, maana hiyo inapatikana subjectively kwa kura! Lakini hao unaowaita takataka wako kwenye ligi ya peke yao, Gaucho hatii mguu hapo!
Nimekubali kweli anachokisema jamaa umeanza kuangalia soka juzi juzi wakati wa messi, Messi kaskoo hati triki santiago ila hajawahi kupewa heshima santiago kama Dinho na mihati triki yake, Kaangalie el clasico ya novemba 2005 pale santiago uone mashabiki wote wa madrid pamoja na viongozi wao walisimama kumpigia makofi Dinho baada ya kuwasumbua mabeki wa madrid kama watoto wadogo,mashabiki uzalendo ukawashinda wakasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,ndicho walichofanya kwa Mtakatifu Ronaldinho,je messi alishawahi kufanyiwa hayo huko santiago na mihati triki yake?
Umeanza kuangalia soka mwaka 2011,sidhani kama tutaelewana maana tunachokwambia hukijui unabisha tu.
kwa hyo messi kuchukua ballon dor mara nne mfululizo ni recod ya ulaya? na kufunga goli 91 mwaka mmoja ni ya ulaya? je magoli 72 msimu mmoja nayo ya ulaya? haya za dunia ni zip
Bado nina wewe mkuu
World records
- Only player to ever win all of the Balon dOr,
FIFA World Player, Pichichi and Golden Shoe in
the same season (2009/10).
- Youngest three-time winner of the Balon dOr
in January 2012 (24 years, 6 months and 17
days.
- Only person to win four consecutive Balon
dOr trophies (2009, 2010, 2011 and 2012).
- Top scorer in one season of official matches:
73 goals in 2011/12 (50 in La Liga, 14 in
Champions League, 3 in Cup, 3 in the Spanish
Supercup, 1 in the European Supercup and 2 in
the Clubs World Cup.
- Top goalscorer in a calendar year: 96 goals in
2012. 84 for Barça (59 in the Liga, 13 in the
Champions League, 5 in the Spanish Cup, 2 in
the Spanish Supercup and 5 in friendly matches)
and 12 for Argentina.
- Longest scoring run in La Liga (33 goals in 21
consecutive games (2012/13)).
European records
- Leading goalscorer in League history with 253
goals in 289 matches, surpassing the record of
251 goals set by Telmo Zarra of Athletic club de
Bilbao which had stood since 1955.
- All-time top goalscorer in the Champions
League, tied with Raúl on 71 goals. The
Argentinian did it in 90 games while Raúl did it
in 142 games for Real Madrid and Schalke 04.
- Only player to be top goalscorer in the
Champions League for four consecutive seasons
(2008/09 to 2011/12).
- Top goalscorer in a European league in the
Golden Shoe era, since 1966/67 (50 goals in
2011/12).
- Top goalscorer in a league (50 goals in
2011/12).
- Top goalscorer in home matches in a league
season (35 goals at the Camp Nou in Liga
2011/12).
- Top goalscorer in away matches in a league
season (24 goals in Liga 2012/13).
- Most games scoring away from home (15
games and 24 goals in Liga 2012/13).
- Top goalscorer in second half of La Liga (28
goals in the Liga 2011/12).
- Only top goalscorer and top supplier of assists
in the same season (50 goals and 15 assists
(tied with Özil of Real Madrid) in Liga 2011/12).
- Top overall goalscorer in a season: 75 goals
in 2011/12 (50 in La Liga, 14 in the Champions
League, 3 in the Cup, 3 in the Spanish Supercup,
1 in the European Supercup, 2 in the Clubs
World Cup and 2 in friendlies).
- First player to score in every game for half of
a Liga season (30 goals in 19 consecutive
games in Liga 2012/13.

Dinho ni mburudishaji tu ila kwa soka kaachwa mbali na Messi
Shida ya watu walioanza kuifuatilia Barca baada ya nurse eskimo Messi kuanza kucheza pale Nou Camp.
Kwa uchezaji huu wa Nessi ukisema eti ni bora kuliko The Boy from Atletico Mineiro basi hata Valderama ama Figo ni malaika
hah hah hah hah ndo maana kumbe...
ninegundua umri wako bado ndo maana kila kukicha ni bla bla tu.
umewataja De Lima, Carlos, Cafu na Dunga na kudai kuwa eti ukiwa nao hao watu huwezi kukosa kombe..
but nakukumbusha kuwa watu hao walikuwapo mwaka 98 na kuambulia kipigo cha goli 3-0 toka kwa France ktk Fainali ya kombe la Dunia.
sasa nimetambua kuwa natakiwa kumfundisha soka mtu wa namna gani.
nilikwambia huyo akirudi na Data ntajing'ata mgongoni...hah hah hah hah dah kweli ukimjuwa hakusumbui
bora ni yule mwenye world cup na coppa america...
next question please
then hayo magoli anayafunga kipindi hiki mabeki wenyewe dakika zote 90 wanatembea uwanjani huku wanajitoa doksi nyuma.
kama yeye ni striker mbona hakuwahi kumpita Nesta na kufunga tena Nesta huyo aliekuwa ameshazeheka?
njoo na video NESI kampita Nesta na kufunga goli basi Mods wanifungie mwezi mzima...
atavipita visichana vyenzie hivyohivyo shenz type.
Ubora na umaarufu wa mchezaji ni kuwezesha timu yake kuchukua ubingwa na pia kuwezesha timu yake ya taifa kuchukua ubingwa wa dunia ndivyo Pele na Maredona walivyofanya. Huyo unayemtaja nini amefanya kwa timu ya taifa lake kuwezesha kuchukua kombe la dunia? Usipime kwa mtazamo wako ila angalia macho ya wengi pamoja na jopo la vyombo vya habari na wataalamu wa mchezo huo kwa vigezo vyenye mizani ya ukweli si ushabiki wa kile moyo ukipenda.