Ingawa vina sura mbaya ila probox na succeed ndio vigari vigumu zaidi kwa level yetu wabongo ya vigari vidogo vya Toyota.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Nikiona hizi gari zinavyopiga routes kule kijijini kwetu kwa muda mrefu na bado vinapumua tu fresh, aisee sioni vitz, spacio, ist kuifikia level yake.

Inaweza kuwa gari isio na comfortability ila durability iko mwake.

Labda ni mihemuko yangu, watalaam waongee pia.
 
Iko vizuri, tofauti yake ni Mkuu,probox vs succeed
 
Kule Instagram kuna jamaa wanaitwa eastcar walitest probox ikiwa imebeba mzigo na ikiwa haijabeba...... matokeo ilionekana probox ikiwa imebeba mzigo mafuta yanatumika vizuri Sana pia inakuwa inachapa Sana mwendo
 
nilishawahi kukakimbiza siku moja maeneo ya nyakanazi, sikukakuta. yule dereva nadhani anavuta bange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…