Ingawa vina sura mbaya ila probox na succeed ndio vigari vigumu zaidi kwa level yetu wabongo ya vigari vidogo vya Toyota.

Ingawa vina sura mbaya ila probox na succeed ndio vigari vigumu zaidi kwa level yetu wabongo ya vigari vidogo vya Toyota.

Nikiona hizi gari zinavyopiga routes kule kijijini kwetu kwa muda mrefu na bado vinapumua tu fresh, aisee sioni vitz, spacio, ist kuifikia level yake.

Inaweza kuwa gari isio na comfortability ila durability iko mwake.

Labda ni mihemuko yangu, watalaam waongee pia.
Samahani mkuu. Hii mpaka naishika mikononi kutoka Japan inatakiwa bajeti ya Tsh ngapi?
 
Ninaweza kutumia battery 100 kuboost haka kasucceed, au nitaua mfumo wa umeme?
 
Back
Top Bottom