Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
NilidanganywaHuu Ni uongo.Rav 4 imeanza kutengenezwa mwaka 1994.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NilidanganywaHuu Ni uongo.Rav 4 imeanza kutengenezwa mwaka 1994.
Nikipata picha yake nitashea MkuuToyota 110? Ni ipi hiyo?
Ni sawa na tv tu, ilikuwa zinaagizwa Kwa order maalumu nje ya Nchi 🤗Mmmmmmmmmn we jamaa mwaka 1988 aliitoa wapi hii gari ya miaka ya 2000?🤔
Samahani mkuu. Hii mpaka naishika mikononi kutoka Japan inatakiwa bajeti ya Tsh ngapi?Nikiona hizi gari zinavyopiga routes kule kijijini kwetu kwa muda mrefu na bado vinapumua tu fresh, aisee sioni vitz, spacio, ist kuifikia level yake.
Inaweza kuwa gari isio na comfortability ila durability iko mwake.
Labda ni mihemuko yangu, watalaam waongee pia.