Ingawa vina sura mbaya ila probox na succeed ndio vigari vigumu zaidi kwa level yetu wabongo ya vigari vidogo vya Toyota.

Hizi gari ni miongoni mwa gari nzuri za Toyota na hazina sura mbaya kama ulivyozi describe.

Ukisema hii ina sura mbaya je Fan cargo,Porte unaziweka kundi gani.
 
Gari ya kazi,kinatufaa sana sisi wastaafu,unapiga nacho kazi mchana kutwa jioni unaenda kutegesha Kariakoo ile mida ya nyomi unakula vichwa...
 
Haka ka probox kalisababisha kifo cha ndugu yangu kati ya wale TRA.

N de A
 
Kuna sehemu niliviona vinabeba samaki na vinapanda milima vikiwa na mzigo zaidi ya Tani 1.2 mwenye Nako anauza nicheki dm tuyajenge.
NB: kawe in good condition and affordable price.
 

Attachments

  • PXL_20241101_095656607.jpg
    515.5 KB · Views: 1
Uko Sahihi ist, spacio, vitz ni mayai na probox ni chuma Cha pua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…