Ingejiment

Ingejiment


cs-cluck-out.jpg
kuku wa kienyeji..."wako akiwa kwako, akitoka si wako!"


Akitoka ni wa JAMII
 
Sijui kwa wanaume ila kwa wanawake ni muhimu sana. Kuanzia siku mwanaume anamwambia mpenzi wake kua anataka kumuoa binti anaanza kutangaza. wenzie wakiona hana ring watasema anawadanganya so ring ni kama ushahidi wa ahadi ya ndoa.
Kwangu mimi siku ya proposal ilikua ni kubwa kuliko siku ya mahari na ya ndoa sababu ndio siku tuliamua kukaa pamoja hadi siku ya kufa. kilicho fata ni kutekeleza mpango tu.
 
Rocky hukumbuki kuwa kuku wa kienyeji hafungiwi ndani?

Sasa First Born kama ndo ninaye ndani sasa nifanyeje mkuu maana kumuacha naogopa atakutana na jogoo wa jirani kumfunga ndio siwezi maana hafai kufuga
 
Sasa First Born kama ndo ninaye ndani sasa nifanyeje mkuu maana kumuacha naogopa atakutana na jogoo wa jirani kumfunga ndio siwezi maana hafai kufuga
Ndo ikubalike kwamba mke ni wako unapokuwa nae, ukienda kukojoa yeye anapata ladha nyingine.
 
Hakuna maana, hasa hizi pete za kuvalishana kwa suprise ndio hazifai kabisaa.
 
Weeee.....watu “WANAJUANA“ mpaka ndoa inapofungwa ndo mmoja anagundua kwamba hamjui mwenzake hata chembe.Makucha yanakatwa....mengine yanafichwa.

duuuh hapo ndio huwa nakosa amani kabisa.. hilo suala la mtu kupata cheti cha ndoa na kubadilika linaniogopesha sana, hivi kwa nini inakua hivyo?
 
sasa huyo mwenye malengo unamjuaje,. Lizzy toa uzoefu hapo
Mchongi hiyo process ya kujua kwanini mtu anataka kuolewa inatakiwa ianze tangu hata hamjawa wapenzi ili akikwambia akwambie ukweli bila hofu sababu wewe ni rafiki tu..kuna thread niliandikaga ngoja nikutafutie link
 
Wanaume ndo mnasababisha yote hayo,
Kuna baadhi ya wanaume akishamvisha pete mdada anajua hataenda kokote ndo anaanza kumnyanyasa na kumfanyia visa akijua yule dada hana pa kwenda na huyo dada akishaona hivyo ndo maana saa nyingine anavua hiyo pete.
Kuna baadhi ya wanaume wanatabia za kuwavisha wadada pete alafu hawawaoi nayo inachangia sana na inatokea sana
 
Back
Top Bottom