Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,770
- 3,867
Best comment of the thread.Solution kusiwe na mitihani ya eu coz work tu zinatosha tatizo bongo complication nyingi level ya chuo kikuu mwanafunzi anafundishwa kazi sio kujibu mitihani. lengo la chuo ni zile practicals ziwe nyingi na presentations problem solving basi sasa unakuta mwanafunzi yuko stressed balaa na mitihani.
Yuhavu a pointi mkuuNaomba rejea kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu.
Kama tunavyojua kuna baadhi ya vyuo hapa Tanzania vimekua vikigawa ufaulu wa bure kwa wanafunzi wao na kuwafanya waonekane wamefaulu sana na kuhitimu na ma GPA makubwa ambayo hayaendani na uwezo walionao kichwani.
Pia kuna baadhi ya wanafunzi wamekua wakitoa rushwa ili tu wafaulu vizuri katika mitihani yao. Hivyo kumekua na udanganyifu katika baadhi ya matokeo ya wanafunzi wa vyuo vikuu.
Hivyo basi ili kuondoa matatizo haya pamoja na kuleta usawa katika ufaulu mchakato mzima wa kutunga, kusimamia na kusahihisha mitihani ya mwisho wangekabidhiwa TCU.
Poleni wana vyuo vya kata kwa huu uzi, ndio umefika hivyo.
Mkuu dissertation husaishwa na vyuo Cha ndani na nje ila matokeo ya wa chuo Cha nje udsm huwa hawataki kwahyo internal examiner ka analakukukomoa ndio sehemu yao. Hyo ya mark's ya nje hawakupi wanakupa marks ndogo ya wa ndani.
Naomba rejea kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu.
Kama tunavyojua kuna baadhi ya vyuo hapa Tanzania vimekua vikigawa ufaulu wa bure kwa wanafunzi wao na kuwafanya waonekane wamefaulu sana na kuhitimu na ma GPA makubwa ambayo hayaendani na uwezo walionao kichwani.
Pia kuna baadhi ya wanafunzi wamekua wakitoa rushwa ili tu wafaulu vizuri katika mitihani yao. Hivyo kumekua na udanganyifu katika baadhi ya matokeo ya wanafunzi wa vyuo vikuu.
Hivyo basi ili kuondoa matatizo haya pamoja na kuleta usawa katika ufaulu mchakato mzima wa kutunga, kusimamia na kusahihisha mitihani ya mwisho wangekabidhiwa TCU.
Poleni wana vyuo vya kata kwa huu uzi, ndio umefika hivyo.
HayanaSio macho yako yana makengeza hadi unaona matege?
Mimi nipo hapa hapa ofisini, nipigieTukikuleta hapa ofisini kwetu unaweza thibitisha madai yako bwana mdogo?
Vyuo vikuu ni eneo la kuzalisha first class professionals. Sasa kwa huu mtazamo wako ni kama unasema sasa vyuo vikuu viwe na mtaala mmoja unaofanana kitu ambacho kikifanyika maana ya University haipo tena kwa maana ya kwamba hii itadidimiza ugunduzi na uzalishaji wa maarifa mapya kwa wanafunzi. Pili, kwa vyuo vingi, nafikiri mitihani ina michakato kuanzia ile ya ndani mpaka ya nje ambayo haitoi mwanya hata kidogo kwa mwalimu kumuonea mwanafunzi. Hoja hii ya kwamba waalimu wanawaonea ama kuwapendelea wanafunzi inatolewa na wanafunzi wenye udhaifu ama mapungufu fulani fulani. Mitihani ya vyuo vikuu hupitia michakato mingi, kuanzia kwa moderators, exerminers boards, watahini huru wa ndani na baadaye watahini huru kutoka nje ya nchi. Hawa wote huangalia ubora wa mtihani na usahihishaji wa mtihani wa mwanafunzi mmoja hadi mwingine. Kwa namna hii, hii hoja ya mwalimu kumkosesha mwanafunzi kwa sababu tu ana kisa naye hukosa nguvu kabisa.
Kijazi ni level zingine mkuu, wala usijilinganishe naye, Anastahili kabisa kupewa heshima kubwa ndani ya taifa hiliNi vyuo vikuu vipi hivyo? Vitaje kwa majina na sisi tukajichukulie mijipiei ya juu kama flaiova ya kijazi
kama ni hivyo, hakutakuwa na innovation yeyote, labda ungenambia kwa wale ambao wanasomea ualimu, mana kitu wanachoenda kupresent ni kile kile japo pia ni ngumu.Naomba rejea kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu.
Kama tunavyojua kuna baadhi ya vyuo hapa Tanzania vimekua vikigawa ufaulu wa bure kwa wanafunzi wao na kuwafanya waonekane wamefaulu sana na kuhitimu na ma GPA makubwa ambayo hayaendani na uwezo walionao kichwani.
Pia kuna baadhi ya wanafunzi wamekua wakitoa rushwa ili tu wafaulu vizuri katika mitihani yao. Hivyo kumekua na udanganyifu katika baadhi ya matokeo ya wanafunzi wa vyuo vikuu.
Hivyo basi ili kuondoa matatizo haya pamoja na kuleta usawa katika ufaulu mchakato mzima wa kutunga, kusimamia na kusahihisha mitihani ya mwisho wangekabidhiwa TCU.
Poleni wana vyuo vya kata kwa huu uzi, ndio umefika hivyo.
Nidaganye Ili nipate faida gani chuo nilichosoma mark's za internal ndo hupewa kiupaumbele na ndo ilivokuwa kwangu. So usibishie kitu nilichokipitiaMkuu hapa umedanganya umma kabisa.
Ukweli ni kwamba;
Dissertation/Thesis huwa inasahihishwa na watu wawili 1. internal examiner (huyu ni mwalimu wa hapo hapo ndani ya idara), 2. External examiner (huyu huwa ni wa chuo cha nje).
Marks za external examiner huwa zinapewa uzito, hasa ikitokea hawa examiners wawili wakatofautiana katika grades walizotoa. Na mara nyingi kama sio mara zote marks ya external ndio huwa inachukuliwa.
Mzee alitunukiwaIngekuwa hivyo basi mzee wenu hasingepata ile phd ya kununua
Msalimie sana Dr G MCHONDE, Ile Ford yake Bado anayo na Shule anawapa kweli au kapoa nowdays!!?ww njoo hapa UDOM school of medicine and dentistry/ School of nursing and public health uone watu wanvyokula shule!
Big up Dr Mchonde unafanya tuwe na shule Kichwani
Tupo pamojaAsante mkuu wangu kwa kuungana nami
Bonge la point mzee wanguNaomba rejea kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu.
Kama tunavyojua kuna baadhi ya vyuo hapa Tanzania vimekua vikigawa ufaulu wa bure kwa wanafunzi wao na kuwafanya waonekane wamefaulu sana na kuhitimu na ma GPA makubwa ambayo hayaendani na uwezo walionao kichwani.
Pia kuna baadhi ya wanafunzi wamekua wakitoa rushwa ili tu wafaulu vizuri katika mitihani yao. Hivyo kumekua na udanganyifu katika baadhi ya matokeo ya wanafunzi wa vyuo vikuu.
Hivyo basi ili kuondoa matatizo haya pamoja na kuleta usawa katika ufaulu mchakato mzima wa kutunga, kusimamia na kusahihisha mitihani ya mwisho wangekabidhiwa TCU.
Poleni wana vyuo vya kata kwa huu uzi, ndio umefika hivyo.
Narudia kusema hicho kitu HAKIPO na kama uliambiwa basi ulidanganywa.Nidaganye Ili nipate faida gani chuo nilichosoma mark's za internal ndo hupewa kiupaumbele na ndo ilivokuwa kwangu. So usibishie kitu nilichokipitia
Naomba rejea kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu.
Kama tunavyojua kuna baadhi ya vyuo hapa Tanzania vimekua vikigawa ufaulu wa bure kwa wanafunzi wao na kuwafanya waonekane wamefaulu sana na kuhitimu na ma GPA makubwa ambayo hayaendani na uwezo walionao kichwani.
Pia kuna baadhi ya wanafunzi wamekua wakitoa rushwa ili tu wafaulu vizuri katika mitihani yao. Hivyo kumekua na udanganyifu katika baadhi ya matokeo ya wanafunzi wa vyuo vikuu.
Hivyo basi ili kuondoa matatizo haya pamoja na kuleta usawa katika ufaulu mchakato mzima wa kutunga, kusimamia na kusahihisha mitihani ya mwisho wangekabidhiwa TCU.
Poleni wana vyuo vya kata kwa huu uzi, ndio umefika hivyo.
Ulidanganywa au unajidanganya.Nidaganye Ili nipate faida gani chuo nilichosoma mark's za internal ndo hupewa kiupaumbele na ndo ilivokuwa kwangu. So usibishie kitu nilichokipitia