Dhahiri wote mnapendana, unajibaraguza tu hapa. Mbona unasema mliongea mawili matatu wala husemi ni yepi mliongea ya maisha? Nilidhani kavutwa na mawazo yako ya maisha akadhani anaweza kuishi nawe, na kwa kuwa muda ulikuwa mfupi kukaa pamoja, aliamua kukupa special ambayo hata wewe uliitaka. Najua maumbile ya form four yanavyochanganya vijana rijali, ungemwambia tu unampenda, kwa kuwa una kaka yake aliye rafiki yako na anayekuamini, basi ungepropose kitanzi cha maisha naye lakini ukimsisitiza amalize shule nawe umsaidie amalize vizuri.
Una bahati maana kama kweli ilikuwa special, ulikula yote nyama laini yake, naye akakubali kumeza mwensake pasipo kinga yoyote. Kama mlikinga basi mlishajiandaa na wala sio mashtukizi. Kumbuka wanyalukolo mabinti wanapenda sana kuishi Dar, nawe ulishasema unakaa Dar, labda alishapiga hesabu ya namna ya kuingia Dar sio kama house girl bali housewife. Chunga sana, wanyalukolo sambi sako mwenyewe, kwao hakuna taabu, lakini vijana wa sasa wana machale makali. Kama hujaoa, nakushauri umwoe tu akimaliza shule. Kurukaruka hakutakusaidia, utajikuta unabeba mdudu bila kutarajia. Labda kama umtaalam, specialist wa kumezwa. Ukizoea vibaya siku ukipata ile kitu ya kwako mwenyewe hautatulia, maana japo bucha zina nyama inayofanana, makarangizi ni tofauti na itakucost. Kuna jamaa alikuwa anamezwa na huyu physically lakini kumbe akilini mwake alikuwa anamezwa na mwingine, kwani aliyekuwa naye hapo alimwona baridiiiiiii!
Leka