Ingekua wewe ungefanya nini kwenye mtego huu?

kale ka dada kana pepo wa ngono kabisaaaaaaaaaaaaa
huyu kaka ndie ana pepo la ngono kabisaaaaaaaaaaaa
kwani kuambiwa kuwa kuna something special ndio afikirie 'K' kwanini hasifikirie kuwa kuna mambo mengine ya muhimu ya kuulizwa kama vile masomo n.k
 

Halafu ukimwi pia upo wa kumwaga pale Mafinga. Huyo dem inawezekana kishazowea hako kamchezo siku nyingi, jamaa akapime mapema !!!!
 
..... Kwa mara ya kwanza umeanza kuingia moyoni mwangu lol. Nyamayao yuko wapi tukupigie makofi kumbe ukitulia we mzuli!. Mwalemi sana kaka!

Tatizo lako wewe iwa huniamini siku zeto mm ni kijana mzuri sana.
Mwalimi sana dada ndihongenza.
 
[
Gudboy
duh! ndio maana niliondoka baada ya kugundua kosa, otherwise ningeendelea kuwepo, nastahili kusamehewa na sio kushtakiwa. Bahati nzuri hana mimba na sasa yupo kidato cha 5

Kaka fikiri kabla kutenda, ulimuamini nini huyu binti? jee unajua historia yake kimapenzi? ameshatembea na wangapi?
Ngonozembe itakuwacha pabaya, sio mimba tu jee umefikiri maradhi ya ngono? HIV?
Ushauri nenda kapime na uachane na tabia ya ngonozembe.
Kwa mwendo huu ukimwi utaendelea kusambaa.
 
Halafu ukimwi pia upo wa kumwaga pale Mafinga. Huyo dem inawezekana kishazowea hako kamchezo siku nyingi, jamaa akapime mapema !!!!

Dah nilisahau hilo jamaa hata wazo la kukumbuka daluga lilikuwa hakuna akapiga chap chap sasa swala la ngoma pale mafinga ni balaaa makabuli yamefulika we acha tu ni winter la pale mmmh,
 

Binafsi sidhani ushauri wa kujua wengine wangefanyaje katika hali kama hii utakusaidia sana kwa sababu inaelekea una matatizo yafuatayo:
1. Hufikirii kabla ya kutenda.Unatenda kwanza halafu unafikiria baadae.Badilisha mwelekeo huu ili uwe unafikiria kwanza kabla ya kufanya jambo lolote ili baadae usije kujilaumu na kuchosha watu kukusaidia kufikiria kama hivi.
2.Hujaweza kujimudu kuhimili vishawishi hata vile ambavyo ni dhahiri vitakuletea madhara wewe mwenyewe.
3.Huthamini urafiki wala kuaminiwa (trust)- mwenzio kakukirimu kwa kila hali halafu shukrani zako ukaenda kumchezea dada yake tena mwanafunzi ndani ya sebule yake mwenyewe! Umepata pa kulala, kula na kupumzika bure nabado ukajiongezea na kadha wakadha!

Kitendo ulichokifanya naona kimeleta mafundisho yafuatayo kwetu sote:
1. Usimwamini rafiki hasa pale unapomkaribisha kukaa nyumbani kwako.Ujue unakaribisha nyoka wawaume wale uwapendao - mtoto, dada, mkeo,na kwa wanawake - anaweza kukuchukulia mumeo na wewe ukiwa hapohapo.
2.Watu wawe na kawaida ya kujitegemea wawapo safarini hasa kama ni watu wazima.Mimi sijaelewa kwanini gudboy hukushukia hotelini au guest house.Yote haya yasingetokea kama ungefanya hivyo.
3.Fursa/opportunity mara nyingine husababisha madhara.Vishawishi hupungua kama mtu utajaribu kuepuka mazingira shawishi kama aliyojikuta Gudboy.
 
Mmmmh!
basi Fidel80 kafurahi hapo

Mkuu leo nimeamka vibaya toka jana nasumbuliwa na mafua na kichwa nahisi ni dalili ya uchovu na vumbi la kuruka majoka tokea siku ya Idd mosi na Idd pili sipo fresh leo kabisa.
 
Hiyo haikuwa bonge la mtihani, kama ungekuwa na utashi binafsi usingeduu na demu huyo. kuna kitu watu hawafahamu nacho ni; wanaume wanaodhani kuwa bado wanawatumia wasichana kama vyombo vya starehe wanajidanganya. ni wasichana ndo wanaowatumia wanaume kama vyombo vya starehe au vitega uchumi. next time komaa na mishe zako wherever!
 
hustahili kuitwa mtu kwa kitu ulichomfanyia mchizi wako, so sio fresh kama ningekuwa mimi ningeachana nae tu
 
Gud boy unataka kweli ushauri au ndio umetoa haka kastori kwa ajili ya "ku-fantasize"
 
"Kuwa na Mashori wengi si kipimo cha Urijali, kama mwanaume wa kweli, nyumbani wapate Ugali"-Gudboy

Signature ya Gudboy imetulia kweli.
 
Dhahiri wote mnapendana, unajibaraguza tu hapa. Mbona unasema mliongea mawili matatu wala husemi ni yepi mliongea ya maisha? Nilidhani kavutwa na mawazo yako ya maisha akadhani anaweza kuishi nawe, na kwa kuwa muda ulikuwa mfupi kukaa pamoja, aliamua kukupa special ambayo hata wewe uliitaka. Najua maumbile ya form four yanavyochanganya vijana rijali, ungemwambia tu unampenda, kwa kuwa una kaka yake aliye rafiki yako na anayekuamini, basi ungepropose kitanzi cha maisha naye lakini ukimsisitiza amalize shule nawe umsaidie amalize vizuri.

Una bahati maana kama kweli ilikuwa special, ulikula yote nyama laini yake, naye akakubali kumeza mwensake pasipo kinga yoyote. Kama mlikinga basi mlishajiandaa na wala sio mashtukizi. Kumbuka wanyalukolo mabinti wanapenda sana kuishi Dar, nawe ulishasema unakaa Dar, labda alishapiga hesabu ya namna ya kuingia Dar sio kama house girl bali housewife. Chunga sana, wanyalukolo sambi sako mwenyewe, kwao hakuna taabu, lakini vijana wa sasa wana machale makali. Kama hujaoa, nakushauri umwoe tu akimaliza shule. Kurukaruka hakutakusaidia, utajikuta unabeba mdudu bila kutarajia. Labda kama umtaalam, specialist wa kumezwa. Ukizoea vibaya siku ukipata ile kitu ya kwako mwenyewe hautatulia, maana japo bucha zina nyama inayofanana, makarangizi ni tofauti na itakucost. Kuna jamaa alikuwa anamezwa na huyu physically lakini kumbe akilini mwake alikuwa anamezwa na mwingine, kwani aliyekuwa naye hapo alimwona baridiiiiiii!

Leka
 
nashukuru sana kaka kwa ushauri mzuri, ila huyu binti anasoma hapo moro sec, huwa tunawasiliana, lakini kwa kuwa ni mwanafunzi kwa kweli sina la kusema labda hapo atakapomaliza shule yake
 
kwa kweli ni makosa tu ya kibinadamu na udhaifu wa wanaume ndio ilipelekea hali hii kutokea, CHA MSINGI NIMELITAMBUA KOSA LANGU na nimepima ngoma mara ya 4 sasa lakini nipo safi kabisa. Halafu unajua wale wanyalu, wanakwambia we niangusage tu si sambi sako mwenyewe
 
Wakuu,
Naomba Gudboy kwanza abadili jina lake na signature yake; they contradicts with what he has done. Achana na hakp ka denti and move on!!!
Secondly; acha ngono nzembe!!!
 
nashukuru sana kaka kwa ushauri mzuri, ila huyu binti anasoma hapo moro sec, huwa tunawasiliana, lakini kwa kuwa ni mwanafunzi kwa kweli sina la kusema labda hapo atakapomaliza shule yake

Bado tu wamfuatilia huyu mtoto? Mpaka ujue anakosoma inakuhusu ? Unawasiliana nae kitu gani? wewe wamlipia ada? Achana na wanafunzi mkuu.Wengi wameshakushauri hapo juu mbona umekua mgumu aisee? Hayo mawasiliano ya sim cost anaingia nani,wewe au kaka zake? Unatutia aibu wanaume wenzio ktk hilo hatukuungi mkono kamwe!!
 
Wakuu,
Naomba Gudboy kwanza abadili jina lake na signature yake; they contradicts with what he has done. Achana na hakp ka denti and move on!!!
Secondly; acha ngono nzembe!!!
poa mkuu, mimi ni Gudboy wa ukweli na hata ukiniona mwenyewe utanikubali, very innocent na mpole sana. Ndio hiovyo tena imetokea but kwa sasa naangalia life mkuu
 
shukrani sana kwa mawazo mazuri na hii ndio JF ambayo inatupa mawazo mazuri sisi young generation na hapa ndipo tunapopata uzoefu na jinsi ya kuhandle problems
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…