Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #21
Tungehama mji
[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tungehama mji
Ama ingekuwaje utopolo ndo wangenyimwa lile goli la pili kwa upuuzi wa line 2?
wangejitoa kwenye ligi
Off course bado goli la Zaidi Ndio goli bora kwa sasa likifuatiwa na hili la leo. Povu ruksa
Wangeitisha press
Ila utopolo[emoji1787][emoji1787][emoji29]
Wangeomba ulinzi Mwaka mzima hao
Tusingekula ftari jioni hii.
Wangeenda kumrudishia mpakani akitoka nje ya nchi.
Ahahaaaha! ingekuaje kama Mbumbumbu angekuwa Bingwa wa kihistoria Tz bara, walah tungepigwa makofi vibanda umiza.
Tungepata shida
Simba haipo kugombania magoli bora, ila points tatu, magoli mengi na kandanda safi. Hayo magoli bora yanakuja tu kutokana na kandanda safi la kiwango cha juu. Kwa hiyo unatakiwa kuihukumu Simba kwa kutofunga magoli mengi au kutocheza kandanda safi
Angekuwa kashafika Bujumbura na GSM wangeanza mipango ya kumfanyia booking ya ndege kurudi mazoezini
Najua bado Ligi Kuu ya VPL haijamalizika ila nina uhakika hili Goli la Mohammed Hussein Zimbwe Jr ( alias ) Tshabalala ndiyo linaenda kuwa Goli bora la Msimu.
Nawasubiri Watangazi Wanafiki wa Wasafi FM ( ambao pia ni wana Yanga lia lia ) Maulid Kitenge, Yusuph Mkule na Mchambuzi George Job Kesho Jumatatu watasemaje juu ya hili Goli kwani Saido Ntibanzokinza alipofunga Goli la Kawaida sana ( dhidi ya hawa hawa Gwambina FC ) ambalo hata Mwanangu Junior anaweza Kufunga waliliimba ( walilisifia ) Kipindi kizima
Saido Ntibanzonkiza nina uhakika angefunga Goli kama la Tshabalala jana kwa Ushamba wake ( japo amekaa kwa Kubahatisha Ulaya ) angevua kabisa Jezi na Chupi ( Boksa ) yake kisha angezunguka Uwanja mzima na angeomba pia atoke nje ya Uwanja kabisa barabarani aweze Kushangilia.
Angetoka nje ya uwanja kabisa na kuanza kubembelezwa na viongozi na mashabiki arudi
Genta kama Genta[emoji23]Najua bado Ligi Kuu ya VPL haijamalizika ila nina uhakika hili Goli la Mohammed Hussein Zimbwe Jr ( alias ) Tshabalala ndiyo linaenda kuwa Goli bora la Msimu.