Ingekuaje kama Goli la Tshabalala angefunga Ntibanzokiza?

Simba haipo kugombania magoli bora, ila points tatu, magoli mengi na kandanda safi. Hayo magoli bora yanakuja tu kutokana na kandanda safi la kiwango cha juu. Kwa hiyo unatakiwa kuihukumu Simba kwa kutofunga magoli mengi au kutocheza kandanda safi

Umemaliza kila kitu! [emoji1316][emoji1316]
 

[emoji23][emoji23][emoji23]umeandika kwa uchungu sana, japo pia nimeufananisha mwandiko wako na jamaa fulani humu ambapo jina lake linafanana na dawa!
 
Genta kama Genta[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…