Ingekuaje "LIKES" zingethaminishwa kwa pesa..!??

Last edited by a moderator:
Madame B
kwa hiyo mkongo man vipi
mashairi yote yale hayakuingii akilini.
Bishanga namtazama kwanza anavyohangaika na masista du
akishachoka ndo nitamrudia.

Jamani jamani, Ben Saanane wangu kakukosea nini?
Tuacheni tugaregare kitandani, kimvua hiki hukioni?
Na kikaoni leo haendi.
Nawe kamtafute X wako Bishanga.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…