Ndo twamalizana huku chemba, ila wagumu haoo.
Jamani jamani, Ben Saanane wangu kakukosea nini?
Tuacheni tugaregare kitandani, kimvua hiki hukioni?
Na kikaoni leo haendi.
Nawe kamtafute X wako Bishanga.
Leo sitoki kabisa....hili joto lako linanipa raha sana
Shem wangu Mamndenyi asante kwa kunishtua....
Leo sitoki kabisa....hili joto lako linanipa raha sana
Wewe unahisi kanipendea nini!
ndio, lampa raha mtoto wa kiume.
Yake yangu, yangu yake.
Anasikia raha.
Tatizo ni hivi vi nokia torch vya mchina,hiyo laiki unaitoaje?
Na Madame B peke yao.
Mie najua kwa nini Baba V, Bishanga na Nicas Mtei siku hizi like zenu mnanipa kwa kushtukiza.....nitalipua bomu siku si nyingi, hadi dear wangu awavue uanachama.
CC: Ben Saanane wangu.
Leo sitoki kabisa....hili joto lako linanipa raha sana