Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ungesema sisi wanaume wakwarehuko panafaa kuhamia kabisa kwa sisi wabongo
Naanza kutumia jina langu la asili kisha nafungua kesi mahakamani ambayo itanihalalishia Mgwenako Mangasini na Castr Mangasini kuwa ni watu wawili tofauti.
Kisha naoa wake wanne kama dini inavyotaka, halafu naoa wake wawili wawili kama sheria inavyotaka.
Ile kesi yangu ya kumtenganisha Mgwenako na Castr si nilishinda? Basi Mgwenako atakua na wake zake wanne kama dini inavyotaka na Castr naye vivyo hivyo.
Ugali unaleta mawazo sana.