Ingekuwa Bongo Sjui Ingekuaje.

Ingekuwa Bongo Sjui Ingekuaje.

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,235
Reaction score
5,854
IMG-20180620-WA0004.jpg
 
Naanza kutumia jina langu la asili kisha nafungua kesi mahakamani ambayo itanihalalishia Mgwenako Mangasini na Castr Mangasini kuwa ni watu wawili tofauti.

Kisha naoa wake wanne kama dini inavyotaka, halafu naoa wake wawili wawili kama sheria inavyotaka.

Ile kesi yangu ya kumtenganisha Mgwenako na Castr si nilishinda? Basi Mgwenako atakua na wake zake wanne kama dini inavyotaka na Castr naye vivyo hivyo.

Ugali unaleta mawazo sana.
 
Hahahahah.

Katika ubora wako aisee wa upembuzi yakinifu mkuu. Umetisha aisee.
 
Hiyo habari ni ya kizushi naona kila mwaka inarudiwa tena, mara ya kwanza kuisikia ni mwaka 2014 na ilikanushwa.
 
Back
Top Bottom