Pule
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 378
- 719
Habari wadau....Hawa Azam fc walichukulia poa sana CAF champions league mapema tu wamerudi nyumbani, ikiwapendeza sisi Simba watupe Feisal na sillah kwakuwa hata kwenye ligi msimu huu watashika nafasi ya tatu tunashida na hao watu wawili tu kutoka kwao. Nawapa pole wanarudi kinyonge sana