Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF/PSSSF) ni hiyari ya mtu je, ungechangia?

DOMINGO THOMAS

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
365
Reaction score
365
Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (nssf/psssf) ni hiyari ya mtu, je unge-changia...!?

1. Kwanini ungechangia...!?
2. Kwanini usinge-changia..!?
3. Hujui nini ungefanya..!?
 
Usichokijuwa kila mchango wako unaochangia na muajiri wako anaongeza pesa kukuchangia.
 
Nisingetoa mbuni yangu kipande.

Yani nitoe pesa yangu itajirishe wengine na nikiihitaji naambiwe mpaka nizeeke.
 
Usichokijuwa kila mchango wako unaochangia na muajiri wako anaongeza pesa kukuchangia.
Mimi ni (social protection expert) Mtaalamu wa hifadhi ya jamii, hicho ulicho andika ninakifahamu kwa kukifanyia kazi na kwakukisoma miaka mitatu darasani... Ningependa kujua jibu lako, ungechangia au usinge changia..!?
 
Siku hizi shule mnafundishwa ujinga, ungekuja na mada kwa nini mifuko ya Tanzania inasumbuwa wanachama?

Huna exposure yoyote mjinga kabisa wewe, wala hujui social security ni nini, tembea duniani ujuwe umuhimu wa social security.
 
Sasa matusi ya nini mkuu..!?
 
Back
Top Bottom