DOMINGO THOMAS
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 365
- 365
Usichokijuwa kila mchango wako unaochangia na muajiri wako anaongeza pesa kukuchangia.Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (nssf/psssf) ni hiyari ya mtu, je unge-changia...!?
1. Kwanini ungechangia...!?
2. Kwanini usinge-changia..!?
3. Hujui nini ungefanya..!?
Jibu swali broUsichokijuwa kila mchango wako unaochangia na muajiri wako anaongeza pesa kukuchangia.
Stupid.Jibu swali bro
Ila jamaa hakuuliza mfumo wa uchangiaji kauliza endapo ingekuwa hiari ungechangia???Usichokijuwa kila mchango wako unaochangia na muajiri wako anaongeza pesa kukuchangia.
Akili yako haina akili.Ila jamaa hakuuliza mfumo wa uchangiaji kauliza endapo ingekuwa hiari ungechangia???
Mimi ni (social protection expert) Mtaalamu wa hifadhi ya jamii, hicho ulicho andika ninakifahamu kwa kukifanyia kazi na kwakukisoma miaka mitatu darasani... Ningependa kujua jibu lako, ungechangia au usinge changia..!?Usichokijuwa kila mchango wako unaochangia na muajiri wako anaongeza pesa kukuchangia.
Duh. Sawa mzee. Mungu azidi kukubariki🙏🙏Akili yako haina akili.
Siku hizi shule mnafundishwa ujinga, ungekuja na mada kwa nini mifuko ya Tanzania inasumbuwa wanachama?Mimi ni (social protection expert) Mtaalamu wa hifadhi ya jamii, hicho ulicho andika ninakifahamu kwa kukifanyia kazi na kwakukisoma miaka mitatu darasani... Ningependa kujua jibu lako, ungechangia au usinge changia..!?
Sasa matusi ya nini mkuu..!?Siku hizi shule mnafundishwa ujinga, ungekuja na mada kwa nini mifuko ya Tanzania inasumbuwa wanachama?
Huna exposure yoyote mjinga kabisa wewe, wala hujui social security ni nini, tembea duniani ujuwe umuhimu wa social security.