Ingekuwa Mo Dewji kadhulumu kiwanja wachambuzi makanjanja yangeshuka naye jumlajumla

Ingekuwa Mo Dewji kadhulumu kiwanja wachambuzi makanjanja yangeshuka naye jumlajumla

Kwanza ingekua tu kwenye ile ishu wa kutokuwapa hata shilingi mia. Vilabu vyotr vilivyovaa nenbo ya.. Kwenye jez alf baadae unajitoa. [emoji1787][emoji2] pangewaka moto kwa wachambuzi uchwara aiseee
Imenyamziwa kimyaaa
 
Kweli wewe njaa kali mpaka kichwani
Njaa Kali hao waluodhulumu hadii teams 14 zilizoshoboka kuvaa logo yao began I hadii Leo Hanna malipo na makanjanja yanapiga kimya ingekuwa in dewji ukanjanjani pangewaka moto
 
GSM ni mafia ,hukumbuki enzi za utawala wa kikwete alikuwa na skendo ya kumwagia tindikali ndugu yake , waandishi wa habari wanamwogopa anaweza kuwapoteza jumla
Kuna umuhimu gani kumtaja JK kama skendo ni ya familia ya GSM?
 
Usitake watu wakutukane kwa kujaza ujinga humu. Umetumwa na Makonda ubadilishe hii kesi iende kwenye ushabiki wa soka ukidhani utapata nafuu?
We bogus hivi huwezi kujenga hoja kwa mtazamo wako mpaka ulete Kejeli au Kutishia Kutukana.. Unataka alete mada inayokufurahisha au kumpangia cha kuandika ukiwa kama nani hapa?

Unadhani wengine hawajui hayo matusi? Zero Zero Brain Wewe..!
 
We bogus hivi huwezi kujenga hoja kwa mtazamo wako mpaka ulete Kejeli au Kutishia Kutukana.. Unataka alete mada inayokufurahisha au kumpangia cha kuandika ukiwa kama nani hapa?

Unadhani wengine hawajui hayo matusi? Zero Zero Brain Wewe..!
Nilijua kwa akili chache unazomiliki huwezi kukaa kimya.
 
We nii mojawapo ya wale wachambuzi michicha mwiba wanaoliwa matter core na kusafirishwa marekani kila Mara?
Kushabikia soka hakukutoshi umeanza kushabikia waume za watu. Issue ya Makonda na Ghalib kuipeleka kwenye soka ni uzuzu uliovuka mipaka.
 
Nilijua kwa akili chache unazomiliki huwezi kukaa kimya.
Mapunguani wote wenye uhitaji wa afya ya akili kama wewe, kamwe hatuwezi kukaa kimya, lazima tukupe dawa yaani.

Huwezi kuwa na akili timamu ukajiita Zero.
 
Kushabikia soka hakukutoshi umeanza kushabikia waume za watu. Issue ya Makonda na Ghalib kuipeleka kwenye soka ni uzuzu uliovuka mipaka

Kushabikia soka hakukutoshi umeanza kushabikia waume za watu. Issue ya Makonda na Ghalib kuipeleka kwenye soka ni uzuzu uliovuka mipaka.
Bahasha za khaki mpewe na matter core mliwe duh punguzeni tamaa wachambuzi was mchongo,waume za watu hao trips za Marekani na uingereza ndiyo zisababishe kusalimisha marinda yenu?
 
Mashabiki wa Yanga wanawalalamikia wachambuzi juu ya kuisrma vby timu yao. Nao wa Simba wanalalamika hivyo hivyo.
Sasa tufanyeje
Pongezi sana kwa club ya simba kwa kukataa kutoa bahasha za khaki kwa haya MACHAMBUZI FEKI yenye njaa hadi kwenye unyayo..akili zao ni kisoda sana ....

Najaribu kupata picha kwamba Mo Dewji ndiye ana kesi ya kiwanja na Daud Bashite sijui ingekuwaje huko Ukanjanjani, redio zingewaka moto kipindi cha nusu saa kingetumika kumnanga Mo Dewji simu zingepigwa hadi kwa msemaji wa simba afafanue kwa nini kuna kesi

Lakini kwa sababu ni watumwa wa bahasha za khaki acha wapamabane na hali yao wasizidishe tu miteremko sababu kuna kuinamishwa kama yule mmoja wao aliye na kiherehere kama mwajuma ndala ndefu
 
We boyaa sana unajua nii Mara ngapi mambo binafsi ya mo dewji yanakula dakika za vipindi feki vya redio kumjadili na hadii viongozi wa simba hupigiwa Simu wajadili dewji kucheza mziki tiktok?

Gsm kajitoa hadii uenyekiti waa kamati ya taifa stars baada ya simba kukataa kuvaa logo yake begani kwa beii ya million 3 kwa mwezi

Usijifanye hujui kwamba ingekuwa nii dewji pasingewaka moto huko ukanjanjani

Ingekuwa dewji kamdhulumu bashite ungeona hadii vijembe kwamba tajiri gani anadhulumu Mali ya billion 2

Safi sana Barbra yakazie hayo makanjanja hakuna kutoa bahasha za khaki ndo maana wengine michich mwiba sababu ya tamaa
Kama Ni Bashite wacha adhulumiwe maana mwosha naye uoshwa
 
Back
Top Bottom