njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
-
- #21
Usitake watu wakutukane kwa kujaza ujinga humu. Umetumwa na Makonda ubadilishe hii kesi iende kwenye ushabiki wa soka ukidhani utapata nafuu?
We nii mojawapo ya wale wachambuzi michicha mwiba wanaoliwa matter core na kusafirishwa marekani kila Mara?Kukuelewa wew ni kazi sana, anywaymkuu wewe ni me au ke?
Imenyamziwa kimyaaaKwanza ingekua tu kwenye ile ishu wa kutokuwapa hata shilingi mia. Vilabu vyotr vilivyovaa nenbo ya.. Kwenye jez alf baadae unajitoa. [emoji1787][emoji2] pangewaka moto kwa wachambuzi uchwara aiseee
Anza kutukana wewee majibu utayapataUsitake watu wakutukane kwa kujaza ujinga humu. Umetumwa na Makonda ubadilishe hii kesi iende kwenye ushabiki wa soka ukidhani utapata nafuu?
Njaa Kali hao waluodhulumu hadii teams 14 zilizoshoboka kuvaa logo yao began I hadii Leo Hanna malipo na makanjanja yanapiga kimya ingekuwa in dewji ukanjanjani pangewaka motoKweli wewe njaa kali mpaka kichwani
Kuna umuhimu gani kumtaja JK kama skendo ni ya familia ya GSM?GSM ni mafia ,hukumbuki enzi za utawala wa kikwete alikuwa na skendo ya kumwagia tindikali ndugu yake , waandishi wa habari wanamwogopa anaweza kuwapoteza jumla
Mkuu mbona kama umenitukana, mimi nimekuuliza tu kuwa wewe ni me au ke? Matusi siyo poa mkuuWe nii mojawapo ya wale wachambuzi michicha mwiba wanaoliwa matter core na kusafirishwa marekani kila Mara?
We bogus hivi huwezi kujenga hoja kwa mtazamo wako mpaka ulete Kejeli au Kutishia Kutukana.. Unataka alete mada inayokufurahisha au kumpangia cha kuandika ukiwa kama nani hapa?Usitake watu wakutukane kwa kujaza ujinga humu. Umetumwa na Makonda ubadilishe hii kesi iende kwenye ushabiki wa soka ukidhani utapata nafuu?
Nilijua kwa akili chache unazomiliki huwezi kukaa kimya.We bogus hivi huwezi kujenga hoja kwa mtazamo wako mpaka ulete Kejeli au Kutishia Kutukana.. Unataka alete mada inayokufurahisha au kumpangia cha kuandika ukiwa kama nani hapa?
Unadhani wengine hawajui hayo matusi? Zero Zero Brain Wewe..!
Kushabikia soka hakukutoshi umeanza kushabikia waume za watu. Issue ya Makonda na Ghalib kuipeleka kwenye soka ni uzuzu uliovuka mipaka.We nii mojawapo ya wale wachambuzi michicha mwiba wanaoliwa matter core na kusafirishwa marekani kila Mara?
Mapunguani wote wenye uhitaji wa afya ya akili kama wewe, kamwe hatuwezi kukaa kimya, lazima tukupe dawa yaani.Nilijua kwa akili chache unazomiliki huwezi kukaa kimya.
Kushabikia soka hakukutoshi umeanza kushabikia waume za watu. Issue ya Makonda na Ghalib kuipeleka kwenye soka ni uzuzu uliovuka mipaka
Bahasha za khaki mpewe na matter core mliwe duh punguzeni tamaa wachambuzi was mchongo,waume za watu hao trips za Marekani na uingereza ndiyo zisababishe kusalimisha marinda yenu?Kushabikia soka hakukutoshi umeanza kushabikia waume za watu. Issue ya Makonda na Ghalib kuipeleka kwenye soka ni uzuzu uliovuka mipaka.
Yule siku dewji kajirekodi akicheza ticktok ilikuwa mada had mwenyekiti was Simba akapigiwa simuHasa yule mke wa hersi angepiga kelele
Pongezi sana kwa club ya simba kwa kukataa kutoa bahasha za khaki kwa haya MACHAMBUZI FEKI yenye njaa hadi kwenye unyayo..akili zao ni kisoda sana ....
Najaribu kupata picha kwamba Mo Dewji ndiye ana kesi ya kiwanja na Daud Bashite sijui ingekuwaje huko Ukanjanjani, redio zingewaka moto kipindi cha nusu saa kingetumika kumnanga Mo Dewji simu zingepigwa hadi kwa msemaji wa simba afafanue kwa nini kuna kesi
Lakini kwa sababu ni watumwa wa bahasha za khaki acha wapamabane na hali yao wasizidishe tu miteremko sababu kuna kuinamishwa kama yule mmoja wao aliye na kiherehere kama mwajuma ndala ndefu
Kama Ni Bashite wacha adhulumiwe maana mwosha naye uoshwaWe boyaa sana unajua nii Mara ngapi mambo binafsi ya mo dewji yanakula dakika za vipindi feki vya redio kumjadili na hadii viongozi wa simba hupigiwa Simu wajadili dewji kucheza mziki tiktok?
Gsm kajitoa hadii uenyekiti waa kamati ya taifa stars baada ya simba kukataa kuvaa logo yake begani kwa beii ya million 3 kwa mwezi
Usijifanye hujui kwamba ingekuwa nii dewji pasingewaka moto huko ukanjanjani
Ingekuwa dewji kamdhulumu bashite ungeona hadii vijembe kwamba tajiri gani anadhulumu Mali ya billion 2
Safi sana Barbra yakazie hayo makanjanja hakuna kutoa bahasha za khaki ndo maana wengine michich mwiba sababu ya tamaa