Ingekuwa ni hotuba ya mwendazake ungesikia...

Ha ha haa, nimejikuta nasoma kwa rafudhi ya kisukuma
 
Moja ya kitu muhimu ambacho JPM hakuwahi kugundua au kukitambua ni kwamba, hatatambua kuwa Urais in taasisi.
 
peno hasegawa

aliamini urais ni mtu mmoja ambao ndiye yeye.

na hii ndiyo ulioufanya uraisi wake uonekane mgumu.

laiti angekuwa na hiyo akili ya kushirikisha watu,akaruhusu kila muhimili ukafanya kazi,na hasa bunge kuwa huru kufichua ufasadi,kutunga sheria za haki na kuruhusu mawazo kinzani angekuwa mbali sana!
 
Shujaa wa kizamani aliyeishi nyakati za kisasa
 
Kwa mara ya kwanza juzi Kinana katweet toka aipate shuruba ya jiwe, na akasema tuijenge Tanzania upya, nadhani anamaanisha nchi iliharibika
 
KWA kuongezea,

...ndugu zangu watanzania,kuna watu wanasema eti nifanye lokudown,hapa hakuna Cha lokudown wala babu yake lokudown,tuchape kazi,tulime chakula KWA wingi kweri kweri,kipind hiki hao wenzetu wamejifungia,sisi tulime Ili kusudi tukivuna mazao twende tukawauzie hao waliojifungia KWA bei ghali na ya juu Ili tupate faida,hii corona ni fursaa,au nasema uongo ndugu zangu??
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimeisoma kwa lafudhi ya jiwe.
 
Kijana punguza dhihaka dhidi ya marehemu, mwache apumzike tugange yajayo.Inatupasa tuchukue mazuri yake na tuyaache mabaya yake kwani hakuna mtu mkamilifu.
 
Hotuba imejaa matumaini, ila mioyoni wanajua ni hewa...
 
Kijana punguza dhihaka dhidi ya marehemu, mwache apumzike tugange yajayo.Inatupasa tuchukue mazuri yake na tuyaache mabaya yake kwani hakuna mtu mkamilifu.
Kweli wewe ni kitombile...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…