Makondoo!Pasingetosha, pasingekalika.
Woga na ujinga wetu ndio mtaji wa viongozi wetu danganyika.
Wameshajua sisi ni waoga kuliko maelezo. Hakuna kitu tunaweza wafanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makondoo!Pasingetosha, pasingekalika.
Woga na ujinga wetu ndio mtaji wa viongozi wetu danganyika.
Wameshajua sisi ni waoga kuliko maelezo. Hakuna kitu tunaweza wafanya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee Jomo Kenyatta aliyesema Nyerere alikuwa anatawala maiti ajengewe mnara.
Nafikiri ni kinyume chakee.Mzee Kikwete bila Shaka huu muswada hakuupenda, Basi tu mzee yule hapendi malumbano.
Hivi mjane kama Anna Mkapa anapata shida gani?Mama Salma alienda kuongea tu kwasababu anayo nafasi ya kusema.
Waliopanga mipango ni wajane wa hao viongozi, na walishaongea na SSH kuhusu shida zao. Mwenzao akaenda kuwaongelea tu, asipakwe matope tafadhali.
Haya mambo ni kama masihala hivi, sikutegemea yangeweza fikia hatua ya kwenda Bungeni hadi Ikulu.Ni uroho, unyang'anyi na uporaji uliorasimishwa, ila wahenga walishasema:
"Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha"
Fupa la kongoro siyo. Hahaha.Nchi inaliwa na wenye visu vikali, kama huna unaweza kubahatika kurushiwa hata mfupa ukikubali kuws chawa.