Wewe unavyomkatalia kuna mapenzi?! Jibu lako ndio hilo hilo lake yeye.lizzy vp ww sema kama kuna mapenzi hapo au la ! cjaona jibu lako hasa ninini!
Kaaaaazi kweli kweli!!Huyo niwakumpotezea aisee. Mshamba! Miaka 10, 22, 23,24, 25... Duh! Mchoyo balaa!
Kaaaaazi kweli kweli!!
Huyo demu ni mchoyo wa vitu vyake.
Nyie mnafikiria mwenzenu analinda zawad ya ushindKaaaaazi kweli kweli!!
Nikikupa wewe utanipa nini?!
Naomba umpende na umkumbuke babygal ..umemtupa kweli!!