ingekuwa ni wewe ungefanyaje? hii ni kwa wasichana tu!

ingekuwa ni wewe ungefanyaje? hii ni kwa wasichana tu!

Anasubiri na wewe uanze. Hata wewe unaweza kulianzisha. Mwenzio anaogopa kukukwaza maana inaonekana dini imekukolea.
 
Kwani unavyompenda kaka yako au dada yako mna do nae? chukulia hivyo.
 
Sijui umeniandika mimi? kuomba omba inachosha kwakweli na mimi nikionana nae siku izi ni dizaini za ''hapa story tu kula kwenu''
 
ndio wakati wako wa kumdengulia na wewe sasa...; keshashtuka kwamba biological clock inaanza kumuacha fasta, so lazima akung'ang'anie
 
mwaya itunze kabisa
ntakuja kukuonesha kitu cha kufanya ili aome tena
lakini itakuwa in private, sawa?
 
unajua shida ya watanzania ce tumeweka ngono ndo moja ya kuashiria kwamba ndo kuna upenzi/mahusiano.kumbuka wenzetu mbele ngono co kiashirio only kissing inabeba maana kubwa...kwanini jaman watz hv?......we mdada sijui mkaka....usiusemee moyo wa mtu ye mwenyewe anajua nini anafanya wewe mwenye haraka ya ngono ndo utaishia kuhisi vitu kiiibaaaaoooo.jichunguze.
 
hivi binti anampa mwanaume au wanapeana? mnavoturingishia nani anafaidi zaidi kama sio nyie mabinti? tena mnaimba nyimbo bila verse huku mkituganda na kutusihi tusiwaache kwa kunogewa wkt mnatuzungusha kila siku lol.
 
Mapenzi sio Ngono tu
Na ukiendekeza ngono utaishia kwenye tamaa na sio mapenzi
 
Kutokuomba unyumba haimaanishi mapenzi kupungua.. Na wala si kigezo iwe kikuu ama cha nyongeza cha kumpima mwanaume hata kidogo...
Huenda ndiyo kuelimika kwenyewe..
Usipende kufikiria upande mmoja tu wa shilingi Loreen..
 
Back
Top Bottom