He'll Africa
Nimejaribu kuwaza sana kama Tanzania kwa kiasi kikubwa wengi tungekuwa tunafanya kazi za ofisini nyumbani ingekuwaje?
Kwangu mimi ni ngumu sana huwa najitahidi lakini wapi mpaka napigiwaga simu na boss sioni kazi kazi zikitumwa kwenye system hali inayo nipelekea kwenda kazini mpaka juna pili ili tu kazi za watu ziishe lakini nikisema leo nafanyia nyumbani ase nitahudumia client mmoja tu kwa siku theni nalala au najipa kazi zingine
Kwako ingekuwaje au inakuwaje mpaka unaweza kufanya kazi nyumbani?