Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,595 Reaction score 6,264 Jun 8, 2020 #1 Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kuulizana mambo ambayo kama yangetokea unahisi ni nini kingetokea. Weka hapa hilo jambo wajuzi watakujibu wanavyo hisi wao na wakishindwa basi iwe changamoto kwa wote. NB. Sio kila swali utakalo uliza lazima lijibiwe. Naanza mimi.[emoji116][emoji116][emoji116] Ingekuwa vipi kama Binadamu tusinge kuwepo Duniani? Ingekuwa vipi kama jf ingekuwa inamilikiwa na kada mwandamizi kutoka chama cha siasa? Ingekuwa vipi kama Tanzania kusinge kuwepo na vyama vya siasa? Endelea......
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kuulizana mambo ambayo kama yangetokea unahisi ni nini kingetokea. Weka hapa hilo jambo wajuzi watakujibu wanavyo hisi wao na wakishindwa basi iwe changamoto kwa wote. NB. Sio kila swali utakalo uliza lazima lijibiwe. Naanza mimi.[emoji116][emoji116][emoji116] Ingekuwa vipi kama Binadamu tusinge kuwepo Duniani? Ingekuwa vipi kama jf ingekuwa inamilikiwa na kada mwandamizi kutoka chama cha siasa? Ingekuwa vipi kama Tanzania kusinge kuwepo na vyama vya siasa? Endelea......
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Jun 8, 2020 #2 Naona pamekuwa na ongezeko kubwa la special threads...[emoji849]
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,104 Reaction score 29,178 Jun 8, 2020 #3 Ushimen said: Naona pamekuwa na ongezeko kubwa la special threads...[emoji849] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]
Ushimen said: Naona pamekuwa na ongezeko kubwa la special threads...[emoji849] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]