Ingekuwa vipi? - Special Thread

Ingekuwa vipi? - Special Thread

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2019
Posts
2,595
Reaction score
6,264
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kuulizana mambo ambayo kama yangetokea unahisi ni nini kingetokea.

Weka hapa hilo jambo wajuzi watakujibu wanavyo hisi wao na wakishindwa basi iwe changamoto kwa wote.

NB. Sio kila swali utakalo uliza lazima lijibiwe.

Naanza mimi.[emoji116][emoji116][emoji116]

Ingekuwa vipi kama Binadamu tusinge kuwepo Duniani?

Ingekuwa vipi kama jf ingekuwa inamilikiwa na kada mwandamizi kutoka chama cha siasa?

Ingekuwa vipi kama Tanzania kusinge kuwepo na vyama vya siasa?

Endelea......
FB_IMG_1591613377106.jpg
 
Back
Top Bottom