kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Mm ningekuwa mmoja wapoUle utamu ungezidi dakika tano ninadhani watu wangepata sana matatizo ya moyo.
Maendeleo yangezidi sana na everything too much is harmful.Ingekuwa vipi watu akili zao zingekita zaid kwenye maendeleo na si kwenye ngono[emoji23]
Ningesikia kuwa naungana na mawazo ya mwenye kutoa mada.Maendeleo yangezidi sana na everything too much is harmful.
Je ingekuwa vipi kama usingeuliza hivyo?
Tungekuwa mwesela sasa hivi.Ningesikia kuwa naungana na mawazo ya mwenye kutoa mada.
Je ingekuwa vipi kama wanaume wote wangewaza kama mtoa mada alivyowaza?
Mngekuwa na heshima zaid maana jogoo akisharidhika huwa anatulia na si km wanadamu.Tungekuwa mwesela sasa hivi.
Je ingekuwa vipi kama tungekuwa jogoo?
[emoji16][emoji16]haya bwanaMngekuwa na heshima zaid maana jogoo akisharidhika huwa anatulia na si km wanadamu.
Ingekuwa vipi kama ungesapot i mada yangu hii[emoji12]
Wasingepata muda wa kusoma na kucomment uzi huu kama wewe ulivyofanyaIngekuwa vipi watu akili zao zingekita zaid kwenye maendeleo na si kwenye ngono[emoji23]
Wangepata tu ili wawajulishe what needs to be on your head[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] natania bhanaeeerrWasingepata muda wa kusoma na kucomment uzi huu kama wewe ulivyofanya
Ndio ningefuta pumba zote nilizoandika ila nikaenda ku-comment kwenye pumba nyingine kama ulivyo-comment ww kwny pumba zangu..nadhani tatizo lingekuwa kubwa zaidiingekuwa vp kama ungekuwa na akili kama zangu..!!!
nahisi ungefuta pumba zote ulizoandika..!!!!
Ingekuwa vipi kama tungekuwa jogoo
Walioajiriwa na makampuni ya kutengeneza Condom pia wangekuwa joblessIngekuwa vipi Kama husingelikuwepo ukimwi wala mgonjwa ya zinaa pia tar ya mimba kujulikana kwa wote
Pia ngono ingehalalishwa kila mahali maana isingekuwa na madharaWalioajiriwa na makampuni ya kutengeneza Condom pia wangekuwa jobless