Ingekuwa vipi?

Ingekuwa vipi?

Hahahaaaa ""love bite zingekuwa makovu kabisa"" teh teh
 
Hahaha! Good thinking mkuu!
Ingekua vipi jua lisingekua linazama?
 
Ingekuwa vp kama ningekuwa na hela kuliko Bill Gates, je ningemtokea Paprika angenikataa
 
Back
Top Bottom