Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Naww pia uwepo,.bila shaka utafungua duka kuubwa tutaliita kwa "mangi" tutakuwa tunapata mahitaji yooote hapo..unaonaje hili mangi[emoji6]??Mimi binafsi ningependa nikae karibu na 'Mumu"
Sina sababu ya msingi kwanini?
Na ukiwaza chochote au kukisia kisia chochote kile utakuwa umenikosea adabu sana.
nmemsahau jinaEh,.sasa huyu mpya ulo mtolea mahari jmos hujanambia jina'le!?
Mfyuuu baba swalehe ww[emoji23][emoji23]nmemsahau jina
kwan mi npoje mkuuMfyuuu baba swalehe ww[emoji23][emoji23]
Umelewa atii?!kwan mi npoje mkuu
sijawah kunywa pombe sabab imekatazwa kwenye biblia tuheshimiane mkuuUmelewa atii?!
Kwani nimekuvunjia heshma??hashakhum si matusi.sijawah kunywa pombe sabab imekatazwa kwenye biblia tuheshimiane mkuu
[emoji23] ujeruman ilishnda ngap janaKwani nimekuvunjia heshma??hashakhum si matusi.
Usinivuruge mm,..[emoji135][emoji23] ujeruman ilishnda ngap jana
Naww pia uwepo,.bila shaka utafungua duka kuubwa tutaliita kwa "mangi" tutakuwa tunapata mahitaji yooote hapo..unaonaje hili mangi[emoji6]??
[emoji23] ujeruman ilishnda ngap jana
Ningependa Demiss awe jirani wangu wa karibu sana
Ingekuwa vipi kama binadamu hasingeumbwa na ubongo. Nadhani dunian viumbe wote wangeshakufa.
Ana zawadi nzuri ya kudumuEmu tupe sababu kadhaa?
Ingekuwa vipi kama yangekuwa mawazo yako.Mawazo yako.
Ana zawadi ya kudumu
Ingekuwa vipi kama yangekuwa mawazo yako.
Wow,..ww ndio mangi buanaa[emoji4][emoji4]udugu si kufafana,udugu ni kusaidiana,.Haswa, na nngekuwa nikukopesha unga wa dona na viberiti vikikuishia kama mfuko wako ukiwa umetoboka
Lakini vitu vingine NO.
Ujirani ni kusaidiana ,ujirani ni kukopeshana.