Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Naww pia uwepo,.bila shaka utafungua duka kuubwa tutaliita kwa "mangi" tutakuwa tunapata mahitaji yooote hapo..unaonaje hili mangi[emoji6]??Mimi binafsi ningependa nikae karibu na 'Mumu"
Sina sababu ya msingi kwanini?
Na ukiwaza chochote au kukisia kisia chochote kile utakuwa umenikosea adabu sana.