Wow,..ww ndio mangi buanaa[emoji4][emoji4]udugu si kufafana,udugu ni kusaidiana,.
Ingekuwa vp Kama ungeanza kujihangamiza wewe mwenyeweSiwezi kuja hicho kijiji. Jf mazuri ni machache mno ila kuna kila aina ya Uchafu unaoujua wewe.
Labda watukusanye hafu wawatupie kabomu ili kuteketeza hiki kizazi chote cha nyoka cha JF
Ww ni jirani mwema[emoji4][emoji4]Ungekuwa ukiongea na mimi vema, Hakika tungefika mbali sana kwa kufanyiana ujirani na uungwana wa kiwango chema.
Nisingesita kufanya mengi mazuri .
Basi tu ndo hivo hatufahamiani.
Unajiweza mkuu.Mi ningependa Ruge Mutahaba akamatwe n kufungwa kwa kutaka kuua muziki wetu wa asili na kutuletea muziki wa Nigeria kufanya kuwa wetu. Kingine, ningependa Irene Kiwia awe demu wangu na Mzigua90 mahondaw Demiss kuwa nyumba ndogo zangu huku Mshana Jr akiwa mganga wangu na mshauri wangu mkuu wa kuangamiza maadui zangu kutumia rada yake ya asili.